kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Sema mazingira ya makete kama ulaya tu palivyoYeah kote huko kunasubirishwa na Makete
Hahahahaha mandata ,mamwela ,manjagu,wafugabaata wako kibao[emoji1787][emoji1787][emoji3577]leo nimejua mandata humu, acha niwe makini kabisaaaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] hakuna kukutana tena mwana jf unatokea unaambiwa ndio nilikua nakandia
Hahaha lakini mkumbuke kuwa siyo kila mtu kipaumbele chake ni magari. Mwingine akiwa na usafiri tu wa kumtoa sehemu moja kwenda nyingine inatosha huyo hata akimiliki Porte au Passo kwake haoni tatizo hata kama ana pesa.Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivi
Ila hawa wa down ni vitz,ist,spacio ,verosa,akisogea sana crown
Yaani kweli kabisaKwani nasema uongo ndugu zangu [emoji28]
Hata TISSJeiwii
Uhamiaji
Tanapa
Kuna afadhali
[emoji23] [emoji23] raia hawana jema.Hahaha lakini mkumbuke kuwa siyo kila mtu kipaumbele chake ni magari. Mwingine akiwa na usafiri tu wa kumtoa sehemu moja kwenda nyingine inatosha huyo hata akimiliki Porte au Passo kwake haoni tatizo hata kama ana pesa.
Nisharudi. Nimeingia jana usiku. Nilikuwa nakimbizana na Discovery 3, vichwa nilivyopakia waliomba mpaka namba next time wakiwa na safari wanicheki kwanza niwabebe tena, wanasema it was an experience [emoji38][emoji38]
Niko mjini, nipange
Lt mwenzao sio?Hahahahaha mandata ,mamwela ,manjagu,wafugabaata wako kibao[emoji1787][emoji1787][emoji3577]
Hahaaa [emoji23][emoji1787][emoji1787]Hili la vits chakavu ni kweli mwaka Jana December kuna bakabaka mmoja alinipa lift toka pale chalinze hadi msamvu na vits yake chakavu namba c[emoji1787][emoji1787]
Kwani uongo?[emoji23] [emoji23] raia hawana jema.
Utasikia mara tunashindia ma-track suit hatuvai vizuri, vigari vyetu vidogo dogo tena tunanunua kwa kuigana [emoji23]
Kuna copl mmoja alijitumbukiza kwa Kluger kwani alitoboa hata mwaka? Now karudi kwa premio.Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivi
Ila hawa wa down ni vitz,ist,spacio ,verosa,akisogea sana crown
Hahaha daah Raia wametuandama sana aiseee[emoji23] [emoji23] raia hawana jema.
Utasikia mara tunashindia ma-track suit hatuvai vizuri, vigari vyetu vidogo dogo tena tunanunua kwa kuigana [emoji23]
Uongo ndiyo, stop generalizing bwanaKwani uongo?
Let's be honest tu.Kuna copl mmoja alijitumbukiza kwa Kluger kwani alitoboa hata mwaka? Now karudi kwa premio.
Duh mkuu umefanya nitabasamu...😎Nisharudi. Nimeingia jana usiku. Nilikuwa nakimbizana na Discovery 3, vichwa nilivyopakia waliomba mpaka namba next time wakiwa na safari wanicheki kwanza niwabebe tena, wanasema it was an experience [emoji38][emoji38]
Niko mjini, nipange
Hivi zile track suit lazima mvae au wenyewe mnapenda tuHahaha daah Raia wametuandama sana aiseee