Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sifa zenu za kindezi mnazionyesha hata hapa [emoji1787]? Yuuu gaiziiii


Raia my foot? Namwambiaga mshua asituzingue uaskari wake akiwa kikosini
Hahaha kumbe hilo neno ni offensive kiasi hicho? Sasa si kujitofautisha tu jamani ujue mwanajeshi na raia wa kawaida ni watu wawili tofauti na kwa kusema hivyo siyo kuwa mwanajeshi ndiyo bora zaidi kuliko raia bali ni kujitofautisha tu!
 
Mimi nina mjomba angu mpaka anastaafu alikua piki piki zile walipewaaga nilibaki namshangaa tu aise
Hahaha yaweza kuwa majukumu mengi au maamuzi tu! Ukizingatia africa ndugu wengi wakishaona mmoja kapata kazi yenye neema kidogo basi mizigo karibu yote anatwishwa yeye utasikia "naomba uwasomeshe hawa" au "naomba uwe unawahudumia hawa" basi hela yote inaishia huko!
 
Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
amarok_aventura_01_copy.jpg

Hapa bongo Amarok nyingi zinachoka haraka sana body. Kwanini?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom