Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Siyo wote huzivaa. Ni kupenda tu.Hivi zile track suit lazima mvae au wenyewe mnapenda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wote huzivaa. Ni kupenda tu.Hivi zile track suit lazima mvae au wenyewe mnapenda tu
Hahaha kumbe hilo neno ni offensive kiasi hicho? Sasa si kujitofautisha tu jamani ujue mwanajeshi na raia wa kawaida ni watu wawili tofauti na kwa kusema hivyo siyo kuwa mwanajeshi ndiyo bora zaidi kuliko raia bali ni kujitofautisha tu!Sifa zenu za kindezi mnazionyesha hata hapa [emoji1787]? Yuuu gaiziiii
Raia my foot? Namwambiaga mshua asituzingue uaskari wake akiwa kikosini
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu!Kwani nasema uongo ndugu zangu [emoji28]
Alteza zilipobamba walijitwisha wengi sn!Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivi
Ila hawa wa down ni vitz,ist,spacio ,verosa,akisogea sana crown
Tatizo majukumu mama! Ila ukitukuta ambao hatuna majukumu tunakulaga bata tu mbona!Mna ubahiliii.
Sijui starehe zinawamalizia hela? Sijui hela zenu ziko Kama za HESLB? Capt kuendesha IST? Namwambiaga badili gari anasema hela zinavuja jasho bado.
Karibu sana kama una private, ukishaingia dodoma mwanzo ni kunusaDar Mwanza pia siwezi kwenda na gari,mbali sana!
Mimi nina mjomba angu mpaka anastaafu alikua piki piki zile walipewaaga nilibaki namshangaa tu aiseTatizo majukumu mama! Ila ukitukuta ambao hatuna majukumu tunakulaga bata tu mbona!
Ohoo wale ligi yao si mchezo! Kule wayaachie mabasi tu!Inabidi waende wakafuane na akina Sauli.
Hahaha yaweza kuwa majukumu mengi au maamuzi tu! Ukizingatia africa ndugu wengi wakishaona mmoja kapata kazi yenye neema kidogo basi mizigo karibu yote anatwishwa yeye utasikia "naomba uwasomeshe hawa" au "naomba uwe unawahudumia hawa" basi hela yote inaishia huko!Mimi nina mjomba angu mpaka anastaafu alikua piki piki zile walipewaaga nilibaki namshangaa tu aise
Hamna aise yule alikua kauzu sanaHahaha yaweza kuwa majukumu mengi au maamuzi tu! Ukizingatia africa ndugu wengi wakishaona mmoja kaingia sehemu yenye neema kidogo basi mizigo karibu yote anatwishwa yeye utasikia "naomba uwasomeshe hawa" au "naomba uwe unawahudumia hawa" basi hela yote inaishia huko!
Basi huyo ni maamuzi yake binafsi tu! Lakini wengi wetu hiyo ndiyo hali halisi!Hamna aise yule alikua kauzu sana
Mtumie hela aise msije mkaziachaBasi huyo ni maamuzi yake binafsi tu! Lakini wengi wetu hiyo ndiyo hali halisi!
Tukitumia zitaisha aisee [emoji41][emoji41]Mtumie hela aise msije mkaziacha
Tafuta Amarok,Touareg,Q7 3.0TDi V6. Jana katika misele ya nje ya mji nimekula kichapo na Amarok V6 sitaisahau! That thing is a monster! 😳😳😳
![]()
Ni kwa usalama wa watu.Sema lakini sheria zetu kwa sasa kipindi basi zinamwaga moto mbeya ilikua karibu kweli sasa hivi hata ukiwa na gari binafsi safari uniona mbali kutokana na tochi kila mahali
Nikitoka dar alfajiri ya saa tisa huwa naingia mwanza jioni naanzaga safari ya mwanza kui hesabia napo toka dodomaDar Mwanza pia siwezi kwenda na gari,mbali sana!
Amejua kuzimwaga 😎 msalimie akija.Offshore Seamen karibu kijiweni