Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahahaha kama ni officer was rank za juu sio ishu kuanzia major hivi

Ila hawa wa down ni vitz,ist,spacio ,verosa,akisogea sana crown
Hahaha lakini mkumbuke kuwa siyo kila mtu kipaumbele chake ni magari. Mwingine akiwa na usafiri tu wa kumtoa sehemu moja kwenda nyingine inatosha huyo hata akimiliki Porte au Passo kwake haoni tatizo hata kama ana pesa.
 
[emoji23] [emoji23] raia hawana jema.

Utasikia mara tunashindia ma-track suit hatuvai vizuri, vigari vyetu vidogo dogo tena tunanunua kwa kuigana [emoji23]
 
Back
Top Bottom