Sifa zenu za kindezi mnazionyesha hata hapa 🤣? Yuuu gaiziiiiHahaha daah Raia wametuandama sana aiseee
Mna ubahiliii.Let's be honest tu.
Sasa hapa mbona ni mtu binafsi tu na sio "uanajeshi wake"
Koplo mshahara wake unatosha kabisa kumudu gharama za kumiliki kluger.
MnajijuaUongo ndiyo, stop generalizing bwana
[emoji3][emoji3] plus si unakumbuka hii
[emoji445] "Hili jeshi mambo yetu sawasawa, kula yetu, tembea yetu, lala yetu, vaa yetu" etc etc
acheni kunisingizia 😀😀Ndiyo maana Huwa hutaki kabisa,unasema eti mbeya kushoto[emoji23][emoji23]
Nissan FugaUlikuwa na chuma gani?
daaah ! mwanichafua kabisaa mieKweli bhana! Tena kabila lenu mnavyopenda wanawake weupe!
Umepanda bei? Mbona hupokei simu 😂😂acheni kunisingizia 😀😀
Wanajiona nani vile sijui[emoji38]Sifa zenu za kindezi mnazionyesha hata hapa [emoji1787]? Yuuu gaiziiii
Raia my foot? Namwambiaga mshua asituzingue uaskari wake akiwa kikosini
Pandeni mabasi siku moja Moja siyo dhambi.Dar Mwanza pia siwezi kwenda na gari,mbali sana!
Mungu anakuonaacheni kunisingizia [emoji3][emoji3]
HamnaKama kwa gari binafsi ni mbali,kwa bus ni mbali mara mbili.
Nimemiss lift yako.Nissan Fuga
Mbona maji yapo mkuu.Ubaya wa kyela bana hamna maji na joto lake si mchezo
Ila ni mji mzuri sana umepangika safi
Na nowdays naona unachipuka kwa kasi sana.
Inabidi waende wakafuane na akina Sauli.Itakuwa wanaangalia pia mikoa gani huwa ina ligi za private cars mara kwa mara si unajua wanapenda ligi hawa! Na mikoa ya kusini asilimia kubwa ya ligi ni za mabasi makubwa!
Ni jirani sanaMbali best
Sema lakini sheria zetu kwa sasa kipindi basi zinamwaga moto mbeya ilikua karibu kweli sasa hivi hata ukiwa na gari binafsi safari uniona mbali kutokana na tochi kila mahaliHamna
Acha uoga.
Dar mbeya saa12 tu unafika.
Ni jirani kama siku hio polisi hawapo barabaraniNi jirani sana
Leo naona mmeamua kuniharibia eeeh! mie nisipokee simu yakoUmepanda bei? Mbona hupokei simu 😂😂
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ubaguzi huu kutuita raia, kwani nyie wahamiaji?