Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Halafu Mbeya unasema mbali.Nikitoka dar alfajiri ya saa tisa huwa naingia mwanza jioni naanzaga safari ya mwanza kui hesabia napo toka dodoma
Vw Amarok body ni ngumu Sana anashinda a na Isuzu Dmax. Hilux,Hard Body na Ford Ranger body zake ndio nyanya. Kuna Amarok namba B ipo Mkoa inabeba mizigo rough road body imesimama bado rangi ndio imechubuka.Aisee mbona Mimi nawajua wengi wanazo namba C bado ziko bomba? Labda za Tanesco na taasisi kama hizo,hao hata Hilux zao hazitamaniki.
Nimerudi Mkuu, siku chache tu sijaingia humu naona Uzi umekimbia Sana.Offshore Seamen karibu kijiweni
Mimi bukheri wa afya mkuu, nimerudi nyumbani kumenoga trip ziendelee sambamba na ujenzi wa taifa.Amejua kuzimwaga 😎 msalimie akija.
Na wengineo mkawe na a very productive Tuesday.
Mimi naamini gari usipoigongagonga hovyo body inadumu sana. Gari za siku hizi hazijaundwa kubondwabondwa.Vw Amarok body ni ngumu Sana anashinda a na Isuzu Dmax. Hilux,Hard Body na Ford Ranger body zake ndio nyanya. Kuna Amarok namba B ipo Mkoa inabeba mizigo rough road body imesimama bado rangi ndio imechubuka.
Nissan Navara inaingia kwa kundi gani hapo mkuu?!Vw Amarok body ni ngumu Sana anashinda a na Isuzu Dmax. Hilux,Hard Body na Ford Ranger body zake ndio nyanya. Kuna Amarok namba B ipo Mkoa inabeba mizigo rough road body imesimama bado rangi ndio imechubuka.
Navara ni ngumu Mkuu,Ile ni pick up luxury ukiwa ndani uwezi kuhisi ni pick up mpaka ushuke nje.Nissan Navara inaingia kwa kundi gani hapo mkuu?!
Ford Ranger body nyanya?!
Trip unaogopa , kumbuka last trip ulisemaje kwanzaHalafu Mbeya unasema mbali.
Ukifika doma umefika mwanza mkuu.Hii trip labda niigawe mara mbili.
Phase 1: Dar-dom
Phase 2: Dom-Mwanza
Kuna nissan hardbody piaBody ya Isuzu KB Pickup naona ndio body ngumu kutokea, Hata kwenye hizi Isuzu DMax kajitahidi
Ona unavyonisingizia.Trip unaogopa , kumbuka last trip ulisemaje kwanza
ulisema kwenu hawataki utoke 🙂🙂Ona unavyonisingizia.
Last trip tulikubaliana iwe mbeya,,ukaanza kusema mbali,mara kushoto.
[emoji38]ulisema kwenu hawataki utoke [emoji846][emoji846]
🙄🙄🙄🙄[emoji38]
Ikiwa trip ya Mbeya lazima wakubali.
Wewe unaniambia Mbeya kushoto.
Wanajua ni mazingira ya nyumbani...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kamatia hapo hapoWanajua ni mazingira ya nyumbani...
basi waage tunaenda mbeya, tukifika mitaa flani tunaweka kambi 🙂🙂Wanajua ni mazingira ya nyumbani...