Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
achana na habari za bwana wako🥸🥸🥸🥸Bwana angu anakunja 🤣🤣 au unataka na SS? Ahhaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na habari za bwana wako🥸🥸🥸🥸Bwana angu anakunja 🤣🤣 au unataka na SS? Ahhaaaa
Ningekuona ningekuita kwa sauti kubwa hadi ungeshtuka.Umeniona kwenye huo mshkaki nimekaa nyuma kabisaaa [emoji4][emoji4][emoji4]
😎achana na habari za bwana wako🥸🥸🥸🥸
Amekua hovyo asa ivi japo napenda uimbaji wakeHuyu dogo namuelewa. Zamani zamani nilimuelewa sanaaa 🤣
Hivi ni kweli mmejitoa kwenye kundi la raia!Kwani hata uraiani ni raia wangapi wanakunja hizo M50 kwa mwezi? Kama siyo wale wafanyabiashara wakubwa wenye biashara zinazoeleweka au wale viongozi na managers ama directors wapigaji?
By the way kwa jeshini lieutenant general anaweza kuwa anakunja hiyo maana wale general/flag officers ni level nyingine! Ila lieutenant colonel, second lieutenant, first lieutenant hakuna anayekunja hiyo!
Mimi kwenye ile nawagusa bila kuwashika ha ha aa dogo chale flan hiviYuko vizuri. Mie nilianza muelewa kwenye ile "tunapeta" namna alivyoshusha ile mistari.
Yes kashirikishwa Ila katisha sana humoHuu wimbo umebeba staili zake nikajua ni wake kumbe kashirikishwa.
Hahaa Kudos nyingi kwa shem darlingBwana angu anakunja [emoji1787][emoji1787] au unataka na SS? Ahhaaaa
Hatujajitoa ila tu ni katika kujitofautisha maana kuna tofauti kati ya mwanajeshi na raia wa kawaida! Hili mbona nilishalifafanua!Hivi ni kweli mmejitoa kwenye kundi la raia!
Aahh kabisa! "Wasichana wakiniita nawagusa bila kuwashika" hahaa!Mimi kwenye ile nawagusa bila kuwashika ha ha aa dogo chale flan hivi
[emoji38]Hatujajitoa ila tu ni katika kujitofautisha maana kuna tofauti kati ya mwanajeshi na raia wa kawaida! Hili mbona nilishalifafanua!
Bingwa,unakwenda kwenye ile shughuli ya NBC,?Holy Man ISO M.CodD wiki ya kwanza mwezi ujao nina trip ya Dodoma. Sijawahi kupita njia ya Kati zaidi ya Morogoro. Nipeni dondoo njia ikoje hasa kwa gari zetu zinazotembelea tumbo!
Kunduchi au Kivukoni mkuualie karibu na NDC park, akaribie nipo viwanja vya wajeda jeda [emoji3][emoji3][emoji3]
Karma
mzee mwenzangu Offshore Seamen
KunduchiKunduchi au Kivukoni mkuu
Kuna muhudumu kanipenda hapa, sijui anataka bili iwe kubwaaa ana tabasamu zuri huyo hadi nashindwa kukataa kufanya manunuzi 🌚🌚Kunduchi au Kivukoni mkuu
Daah sema niko mbali kidogo na mitaa ya huko japo tuko manispaa moja na umbali siyo mrefu sana kwa gari! Ila siyo mbaya mola akijaalia tutaonanaga tu!Kunduchi
Nipo maeneo hayo pembeni ya bar inayorekebishwa.........ila audi siioniKunduchi
Fanya tu manunuzi chief. Usisahau kumuachia na tip.Kuna muhudumu kanipenda hapa, sijui anataka bili iwe kubwaaa ana tabasamu zuri huyo hadi nashindwa kukataa kufanya manunuzi [emoji276][emoji276]
Kumuachia tip au niondoke nae kabisaa 👨🏿🦳👨🏿🦳Fanya tu manunuzi chief. Usisahau kumuachia na tip.