Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hawana akili miili mikubwa, ila kwenye brain kuna maji tu 😀😀Uliwakomesha sana halafu baadae wanakuomba hela [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana akili miili mikubwa, ila kwenye brain kuna maji tu 😀😀Uliwakomesha sana halafu baadae wanakuomba hela [emoji3]
Anamaanisha private military...(PMC)???Looking forward to it comrade
Inabidi ufanye window shopping tu, maana haifilisi dukaPale noma, unaweza kuta unashindwa fanya maamuzi mazito na sijui kama beki za pale kama zinakaba
Imeanza[emoji30]Haha isiwepo kwanini? Na Dar mvua kidogo tu mafuriko barabara nyingi hazipitiki kwahiyo foleni mji mzima yaani mtu kukaa kwenye foleni masaa nawili hadi manne ni jambo la kawaida labda kwa wale mfano unakuta anafanya kazi Upanga halafu anaishi Masaki hao ndiyo wanapisha na hizo foleni!
Atafaa ndio ila disposable income muhimuNataka nivute huyu mnyama atafaa sana kwa safariView attachment 1977768
Mainjinia wa kibongo nafikiri wanatumiaga masaburi kufikiria! Unawekaje tuta mlimani? Sawa unazuia speed ya anayeshuka ila anayepanda je?Huwa nabaki na maswali mengi sana kuhusu mainjinia wetu.
Hio M5 yamoto sana
We mwanamke kumbe bado upo mjini DsmNina mpango wa kurudi Mbeya.Dar kulivyo na fukuto la joto,kuzaa tu itakuwa kasheshe,,mbona kiumbe atatokota na hili joto.
Kumbe wa kishua unaishi mbweni mtoto wa baba Luteni Kanali 😅Kumbe unaishi Kunduchi, huwa napita hiyo njia ya chini mara moja moja.
Karibu Mbweni mkuu, siku nikipata muda tutaonana huko.
M5 Competition ya 2020 ina 610HP, ile M Performance ina 600HPM performance are less powerful to m competition. They can be 40i & 50i.
M competition ndo top notch kwenye performance kwa bmw. The most powerful ones zina 625hp zipo kwenye x6 na x5. M competition za X3, X4, M3, M4 zina 510hp.
Weekend fanya mpango umuibukie Mbweni, Mimi na Holy Man tutakusindikiza.Kumbe wa kishua unaishi mbweni mtoto wa baba Luteni Kanali 😅
umeona ututukane au sio 🙁🙁🙁Mainjinia wa kibongo nafikiri wanatumiaga masaburi kufikiria! Unawekaje tuta mlimani? Sawa unazuia speed ya anayeshuka ila anayepanda je?
Ogopa sana mbweni, unajua kilichowakuta kina AdamooWeekend fanya mpango umuibukie Mbweni, Mimi na Holy Man tutakusindikiza.
Umelaza sana damuWe mwanamke kumbe bado upo mjini Dsm
Sisi huku ilinyesha kidogo tu then ikakata sasa hivi kuna Mawingu tu na kajua kwa mbali. Mvua za Dar hazieleweki.Imeanza[emoji30]
Nilikuwa nasubiri iishe ndio nitoke,kumbe Hata haiishi.
Duuh siyo Mbweni yote ni ushuani njoo maeneo ya Geza huku uone palivyo uswahilini tu! Sasa mie na ushua wapi na wapi?Kumbe wa kishua unaishi mbweni mtoto wa baba Luteni Kanali [emoji28]
Nishahamia hivyo kimyakimya.We mwanamke kumbe bado upo mjini Dsm
Asbh imenyesha sana tu.Sisi huku ilinyesha kidogo tu then ikakata sasa hivi kuna Mawingu tu na kajua kwa mbali. Mvua za Dar hazieleweki.
Hahahahah simu moja kwa Amos Makalla inatoshaNishahamia hivyo kimyakimya.
Msinifukuze [emoji23][emoji23][emoji23].