Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Haha isiwepo kwanini? Na Dar mvua kidogo tu mafuriko barabara nyingi hazipitiki kwahiyo foleni mji mzima yaani mtu kukaa kwenye foleni masaa nawili hadi manne ni jambo la kawaida labda kwa wale mfano unakuta anafanya kazi Upanga halafu anaishi Masaki hao ndiyo wanapisha na hizo foleni!
Imeanza[emoji30]
Nilikuwa nasubiri iishe ndio nitoke,kumbe Hata haiishi.
 
Back
Top Bottom