Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Karibu Bongo DarSlum.

Makonda ndiye aliwekaga pini kuwa wa 'shamba' msije mjini. Ila kwasasa ni jiji la wote.

-Kaveli-
"wa'shamba'"
Si ungeunganisha tu isomeke 'washamba'[emoji38]
Mjanja sana wewe[emoji23][emoji23]

Asante mkuu nimekaribia 'Darslum',napotea njia kila siku.


Nilitamani nikute amsha amsha za Makonda.
 
"wa'shamba'"
Si ungeunganisha tu isomeke 'washamba'[emoji38]
Mjanja sana wewe[emoji23][emoji23]

Asante mkuu nimekaribia 'Darslum',napotea njia kila siku.


Nilitamani nikute amsha amsha za Makonda.

Paulo alianzaga sera za kiduwanzi sana... eti wa mkoani hata mkioga msije mjini.

Mungu si Mwanalizombe, nayeye Paulo akapigwa pini na 'wenye dunia'... hata akioga hatii mguu maandishi matatu (u.s.a). Mmakonde anakwambia "ng'ado king'aado"... yaani ukitoa mguu, nawega mguu. Sasa tupo na Makalla. 😎

Endelea kuenjoy kipupwe-joto ndani ya darslum.

Worry not sisy, kupotea njia ndiyo kuijua njia. Soon utaielewa mitaa kwa uangalizi maalum na muongozo thabiti kutoka kwa gwiji la jiji Holy Man .

-Kaveli-
 
Kumbe alitupiga Pini kabisa!
Mbona na yeye alikuwa wa mkoani usukumani huko[emoji849].


Kaveli una maneno[emoji1][emoji119].

Unaonaje nikakata mitaa chini ya uangalizi wako??
 
Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.

Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?

Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.

Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!

Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
 
Kuhusu mafundi kama unaishi Dar ondoa shaka, vifaa pia dunia ni kama kijiji siku hizi. Gari ni matunzo mkuu. Chukua chombo hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…