Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Nishahamia hivyo kimyakimya.
Msinifukuze [emoji23][emoji23][emoji23].
Karibu Bongo DarSlum.
Makonda ndiye aliwekaga pini kuwa wa 'shamba' msije mjini. Ila kwasasa ni jiji la wote.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishahamia hivyo kimyakimya.
Msinifukuze [emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23]Hahahahah simu moja kwa Amos Makalla inatosha
"wa'shamba'"Karibu Bongo DarSlum.
Makonda ndiye aliwekaga pini kuwa wa 'shamba' msije mjini. Ila kwasasa ni jiji la wote.
-Kaveli-
"wa'shamba'"
Si ungeunganisha tu isomeke 'washamba'[emoji38]
Mjanja sana wewe[emoji23][emoji23]
Asante mkuu nimekaribia 'Darslum',napotea njia kila siku.
Nilitamani nikute amsha amsha za Makonda.
Uzuri Makalla hawezi fukuza mwana Mbeya yeyote wa Dar maana alishawahi kuwa mkuu wa mkoa hukoHahahahah simu moja kwa Amos Makalla inatosha
Kumbe alitupiga Pini kabisa!Paulo alianzaga sera za kiduwanzi sana... eti wa mkoani hata mkioga msije mjini.
Mungu si Mwanalizombe, nayeye Paulo akapigwa pini na 'wenye dunia'... hata akioga hatii mguu maandishi matatu (u.s.a). Mmakonde anakwambia "ng'ado king'aado"... yaani ukitoa mguu, nawega mguu. Sasa tupo na Makalla. [emoji41]
Endelea kuenjoy kipupwe-joto ndani ya darslum.
Worry not sisy, kupotea njia ndiyo kuijua njia. Soon utaielewa mitaa kwa uangalizi maalum na muongozo thabiti kutoka kwa gwiji la jiji Holy Man .
-Kaveli-
Ndio hapo sasa .Uzuri Makalla hawezi fukuza mwana Mbeya yeyote wa Dar maana alishawahi kuwa mkuu wa mkoa huko
Extrovert ananisumbua anasema nikuoze kwake nichukue mahali 👨🏿🦳👨🏿🦳👨🏿🦳Ndio hapo sasa .
Mwambie Extrovert wanambeya hatuondoki,,tutabanana hukuhuku.
Niwe mke wa pili??Extrovert ananisumbua anasema nikuoze kwake nichukue mahali [emoji2572][emoji2572][emoji2572]
🙁🙁🙁 kumbe hapana hauruhusiwi kuwa mke mdogo ile mambo hawa changiiNiwe mke wa pili??
Ameoa kwetu huyo,mkoa Wetu.
Ndio hapo sasa![emoji853][emoji853][emoji853] kumbe hapana hauruhusiwi kuwa mke mdogo ile mambo hawa changii
Uzuri Makalla hawezi fukuza mwana Mbeya yeyote wa Dar maana alishawahi kuwa mkuu wa mkoa huko
Yupo vizuri.Sahizi anatekeleza maagizo toka juu
Nipo napiga road trip za kijijini huku Mwakaleli Tukuyu Mbeya,Nipo Mama...
Upo wap ww
Buji alishaharibu sehemu ya ufahamuNipo napiga road trip za kijijini huku Mwakaleli Tukuyu Mbeya,
Karibu boss.
Kuhusu mafundi kama unaishi Dar ondoa shaka, vifaa pia dunia ni kama kijiji siku hizi. Gari ni matunzo mkuu. Chukua chombo hichoWakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.
Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?
Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.
Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!
Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
Ukirudi mbeya nistueNina mpango wa kurudi Mbeya.Dar kulivyo na fukuto la joto,kuzaa tu itakuwa kasheshe,,mbona kiumbe atatokota na hili joto.