[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu... unajua nacheka sana. Unanikumbusha mbali sana. Hivi Laswai bado yuko Esther? Hajaja kula nyama choma kwetu muda kweli.
Honestly vitu navyopendaga najishangaa sana. Na watu ndo wananishangaa zaidi maana napenda vitu vya kiume sana. Yaan kiujumla napenda mambo magumu magumu kama haya. Yaan wananiulizaga kama ni mwanamke. Kuna siku hapo stendi ya Arusha nilipelekwa nichague basi. Yalikuwepo mazuri yale ya kishua. Sikujibu kitu. Nikaenda na begi langu nikapanda ngorika na nikakaa kwenye siti yangu. Acha wahuni wa stend wanishangilie najua vitu vikali[emoji23][emoji23][emoji23]...
Siku nyingine miye na buffalo...
Yaan nilikuaga napenda pale kona kali ya old korogwe kwenda stend mpya hapo njia panda ya handeni jinsi ngorika na buffalo zikipita engene zinavyopumua. Yaan dereva akikosea ile kona anapitiliza mpk magoma[emoji23][emoji23]. Shule mimi ndo mkatisha tiketi... yaani kiume ume. Nilikua napenda ligi balaa.
Niko radhi kuuza spare za magari, pikipiki ama bajaj na si viatu wala gauni mpk leo. Basi baba anafurahiiii[emoji23][emoji23] anasema hakika nina kichaa mwenzangu.