Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Barabara ya kwenda Chunya hiyo aise! Wanaziita kona za Mkoa zile kona ni mwisho wa matatizo!Hivi kule kuna barabara ina Kona amazing picturesque panaitwaje? Najua ni Mbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara ya kwenda Chunya hiyo aise! Wanaziita kona za Mkoa zile kona ni mwisho wa matatizo!Hivi kule kuna barabara ina Kona amazing picturesque panaitwaje? Najua ni Mbeya
hapa ndo huwa natamani kuwa konda,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh, huwa na konda anasema mletee yote huyo ameionaaa lete chumaaaa... hapo hizo honj za yutong balaaa. Ukipiga honi kaa warning unasikia wanajibu ameiona huyo mletee mleteeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jamani amwache Esta tu akikutana na Msomali analiwasha hatariTararibu mkuu....Eti Li Ester..[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1][emoji1]
Mademu wanaoitwa Ester humu jukwaani watakuchukiaaa..
Kipande hicho huwa kinachafuka sana na ukizembea unaweza kulala njiani,Kwanini kipindi cha masika?
Yaani wewe nahisi hautamani my dear! Huwa nawatamania sana wale makonda wa hayo mabasi yaani zile ligi zinanikosha balaa!hapa ndo huwa natamani kuwa konda,
kuna time napandaga tu Esta nashuka Kwa Mathias narudi
zile ligi huwa zinanipa Raha sana...Ila likitokea La kutokea basi tena
Kuna Siku mlandizi ilikuwa sauli,New Force na Dar lux ...ile ligi hatari nilitamani nikapande sauli nishuhudie Mtu anavyopigwa vumbi
Hapana Mkuu, umekosea Mama yangu siyo Msagaji Kwanz ahajui.Hapana mimi sio demu ila ni hawara wa mama ako chief.
Sikwenda Mkuu. Mambo yamekua mengi. Nakuja hii janury na familyMarhabaa chuchu bae! Asante nimerudi salama..Vipi hukwenda Moshi kuhesabiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo raha ipo ukiwa umeyapanda hayo mabasi uovertake wengine ila usipande gari ndogo halaf hayo mabasi yakuovertake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani acha kabisa ni raha sana sijawahi kuona! Mtu wala hauchoki na safari!
Yes na unakuta wengi ni wanaume wanawake ni wachache sana na mie ndivyo ninavyopenda! Si unajua asilimia kubwa ya stories zetu wadada zinaboa na hata hazichangamshi hivyo mie naonaga bora wajae wanaume tu huwa hapaboi kabisa!
Wakikaa kimya dakika mbili tu unaanza kuona safari chungu! Haki pale mtu unasahau shida zako kwa muda!
Na mimi wala sijawahi kuwa na shida wale madereva wanapoovertake maana ndiyo napenda! Na huwa sipandagi mabasi yanayochelewa kufika hata siku moja nataka yale wanayokimbiza ili tuwahi kufika unakuta hadi sehemu kama iyovi au kitonga pale dereva anapapita like nobody's business!
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Kabisa unawaacha wanahangaika.
It'd be one of the best aise! Na lile baridi la yale mawingu yanayoshuka barabarani maana kuna sehemu barabara inapita juu kabisa ya milima inakutana na mawingu ya mvua sasa ile scenery daah raha sana!Nitajitahidi iwe kwenye plan ya upcoming road trips
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ndo huwa natamani kuwa konda,
kuna time napandaga tu Esta nashuka Kwa Mathias narudi
zile ligi huwa zinanipa Raha sana...Ila likitokea La kutokea basi tena
Kuna Siku mlandizi ilikuwa sauli,New Force na Dar lux ...ile ligi hatari nilitamani nikapande sauli nishuhudie Mtu anavyopigwa vumbi
Baravarani hujawahi kukumbana na changamoto zozote mkuu,Nitajitahidi iwe kwenye plan ya upcoming road trips
Ah mie hata nikiwa na gari dogo nikaona hao wananiovertake huwa sina shida nawaacha tu! Maana naelewa raha wanayoipata![emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo raha ipo ukiwa umeyapanda hayo mabasi uovertake wengine ila usipande gari ndogo halaf hayo mabasi yakuovertake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi naogopa barabarani maybe kwakua najua hatari zinazoweza tokea ila enzi hizo ninepanda sana mascania naona kawaida mnoo kwenda maporini mpk mombasa kibiashara, sithubutu sasa hv.
Nimekuja kuwa maandazi sana.
Ni yale mawingu kama ya ile milima ya kule manyara?? Yaan giza totoro la wingu?It'd be one of the best aise! Na lile baridi la yale mawingu yanayoshuka barabarani maana kuna sehemu barabara inapita juu kabisa ya milima inakutana na mawingu ya mvua sasa ile scenery daah raha sana!
Good. Atleast unawaelewaAh mie hata nikiwa na gari dogo nikaona hao wananiovertake huwa sina shida nawaacha tu! Maana naelewa raha wanayoipata!
Ni moja ya nyuzi bora[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Uzi unatembeaaa huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kunani kipindi cha nasikia?Umejitahidi kutembelea na kufaidi uzuri wa mama Tanzania, kama ni mtu wa kupenda adventures, safari ya Kigoma nenda kipindi cha masika kwa kupitia Kibondo -Kasulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] miaka Mitatu kutoka leo, athletes crown zitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..
Karibu sana. Umesha tembelea . Koa gani na gani?Aisee hongera mkuu
Nina mpango wa kuitembelea mikoa yote tz