Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wao ndio wanakula 10k wanatulia, ningewatisha naifikisha hii ripoti kwa boss wao.
Kabisaaa. Halaf inatakiwa uvimbe kama afisa kipenyo. Wala hutambulishi cheo chako. We unawapa taarifa trafiki halaf unawaambia nutafuatilia hili jambo niko zaidi ya serious halaf unatembea lzm watetemeke. Unawaachia na hilo 10 la kiwi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetaka na kucheka ila nimejizuia nashindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu. Poole sana aisee. Halaf arusha express lilivyo bovu sasa. Hapo wanaambiana na konda nimempelekea moto akome next time. Yaan i feel u na nilivyo muoga. Nawaheshimu sana wenye ujasiri wa kuendesha magari na hawa watu. Sithubutu. Na unq ujasiri aisee. Ingenichukua muda kweli.
Hata Kilimanjaro Express nazo! Hao ni kwenda nao sambamba tu!
 
Samahani sina nia mbaya ila naomba kuuliza tu. usiogope. kuuliza si ujinga wahenga walisema. wewe Demu? km demu una miaka mingapi hivi? any way nisikuchoshe

Njoo in Box Mkuu! au km uko Dar rahisi sana fanya hivi nenda moja kwa moja mtaa wa swahili na siku kuu! kunako Hotel y Bakhresa agiza unavo taka Bill kwangu. au Kawe nenda ukwamani pale au ingia tu jeshini mle mpaka sehemu inaitwa Mabatini agiza unavotaka wananijua wote wale vijana!! ukija saa 2 usiku utanikuta pale lazima!

Au Tabata kimanga nenda kwa Mangi polisi Bar, au Mawenzi Bar ile ni yangu kama uko Temeke nenda My wii!! Matako bar wana huduma zote au ukitaka chips nenda paree Masangati! masaa 24 hapo. ukikwama nipigie! wana number zangu wale wote!
Aaaah! why?
 
Jahahahahahaha yaan mkuu nimefurahi maana tumefanana aisee. Toka primary siti yangu ni nyuma ya dereva. Hiyo inajulikana. Msichana peke yangu the rest ni boys. Tunapiga story na dereva balaaa. Sijui yupe dereva mzee juma wa dar express kama bado. Tunawanunulia na bia kbs ili wakimbize tuwahi kufika dethilamu.
Panachangamkaga balaa. Mkinunua vitu mnashare kama kawa. Na akikimbiza wala huogopi. Mi najua dereva hataliangushia upande wake[emoji23][emoji23] analilaza kwa konda. Upande wa konda sikaagi.
Yaani acha kabisa ni raha sana sijawahi kuona! Mtu wala hauchoki na safari!

Yes na unakuta wengi ni wanaume wanawake ni wachache sana na mie ndivyo ninavyopenda! Si unajua asilimia kubwa ya stories zetu wadada zinaboa na hata hazichangamshi hivyo mie naonaga bora wajae wanaume tu huwa hapaboi kabisa!

Wakikaa kimya dakika mbili tu unaanza kuona safari chungu! Haki pale mtu unasahau shida zako kwa muda!

Na mimi wala sijawahi kuwa na shida wale madereva wanapoovertake maana ndiyo napenda! Na huwa sipandagi mabasi yanayochelewa kufika hata siku moja nataka yale wanayokimbiza ili tuwahi kufika unakuta hadi sehemu kama iyovi au kitonga pale dereva anapapita like nobody's business!
 
Back
Top Bottom