RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #1,081
Ha ha ha 102>100 mkuu....take care[emoji23][emoji23][emoji23] hapana kipimo hakiwezi kuzidi.
Isitoshe sizidi speed 100View attachment 1661948
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha 102>100 mkuu....take care[emoji23][emoji23][emoji23] hapana kipimo hakiwezi kuzidi.
Isitoshe sizidi speed 100View attachment 1661948
Huu ujumbe umefanya jamaa mwenye gari akiinuka na wewe unainuka kumbe anaenda uani![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1661921
Njia nzima ukimbia 200kph?Hujakutana na gari za speed wewe ,siku ukikutana nazo utakuja tena kuanandika hapa ,ila kwa ki uanzia wewe tuna kupa harier natako ya nyani iliyo fanyiwa tunning ,sasa wewe na katoyota gani kago sijui fuata uone kama u yet arudi au utabaki njiani unabadikisha engine.
App naona hainotify tags(mention)Hii tag ndio nimeiona leo aiseee baada ya kutumia web,app hainipi notifications zote aisee.
Shida kubwa hii mkuu.App naona hainotify tags(mention)
Umejitahidi kutembelea na kufaidi uzuri wa mama Tanzania, kama ni mtu wa kupenda adventures, safari ya Kigoma nenda kipindi cha masika kwa kupitia Kibondo -KasuluHuwezi amini nimerudi jana leo napasua mikoa. Mbeya ni moja ya mikoa michache nilikuwa sijafika. Sasa nimebakisha Kigoma kumaliza TZ yote
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi kwenda dar.Hakuna watu wanakera kama mabasi ya mkoani. Kuna siku tuko na mama yangu na mamadogo anaendesha asubuhi kuelekea shamba mlandizi. Ubaya tulitooa muda mbaya na mabasi ya mkoa. Kulikua na tilisho nyuma na esther wanachuana... unajua panic? Mpk mamdogo wangu alishindwa control gari na ikazimika katikati kwa zile honi na fujo zao. Dereva akajua hapa mwanamama keshaloose confidence akatulia. Akawasha gari akapark lwanza kwa dk kadhaa arelax. Yaan wanakupatisha ajali unajina hawa walevi
Kuna siku nilikaa mbele ya ile New Force ya Tunduma, DPK toka Mlandizi.Eeeh.. weeee... nilipanic zaidi ya dereva. Honi za yutong si unazijua lakini? Na hapigi mara moja..anapiga nyingi makusudi ili uzidi kuchanganyikiwa. Ubaya ama uzuri madereva tunawajua. Walijaapoligise. Yalipogeuka kesho yake yakaja kunywa kwenye ofisi yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ugomvi unamalizwa kwa pombe. Mfieew
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huu ujumbe umefanya jamaa mwenye gari akiinuka na wewe unainuka kumbe anaenda uani!
Nadhani hapo ndipo adventure yake itakamilika vzr sana kwa kupambana na barabara mbovu wkt wa masika,wazee wa Off-road huko ndio kwao.Kwanini kipindi cha masika?
Aisee hongera mkuuHuwezi amini nimerudi jana leo napasua mikoa. Mbeya ni moja ya mikoa michache nilikuwa sijafika. Sasa nimebakisha Kigoma kumaliza TZ yote
Ha ha ha adventure hizo zina wenyeweNadhani hapo ndipo adventure yake itakamilika vzr sana kwa kupambana na barabara mbovu wkt wa masika,wazee wa Off-road huko ndio kwao.
Ila ajichanganye aende na hizi RWD/FWD ataiacha gari huko huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuuu. Yaaan siwapendi mimi. Huo uoga mpk mate yanakukaukia mdomoniKuna siku nilikuwa natoka mlandizi kwenda dar.
Nikafika Kongowe, sasa wakawa wanatengeneza barabara.
Likaja li Ester huko likanichomekea kwa mbele, ilibidi nisogee pembeni kabisa kumpisha.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Huwa wanadharau sana magari madogo aise! Na hata wakitaka kuovertake wakichungulia wakaona inakuja gari kubwa wanasubiri kwanza ila wakiona inakuja gari ndogo wanaovertake wanajua huyo atakaa tu pembeni atake asitake hana namna!Pole sana mkuu. Na hapo abiria wangeungana na dereva kama wale waliompiga wa fuso wakaishia kuwekwa ndani. Ngoja nikupe siri sasa. Asubuhi unawakuta hawa madereva na maji makubwa lakini ukweli si maji ni konyagi na kvant. Wanapiga ule muda wa kuanza safari. Unaelewa vzr mtu akishajilipua anaona kama hatembei kwahiyo anakua ni kufanya extra mbinu ili apite wengine kuwahi abiria wa mbezi na vituo vya mbele. Kukugonga dk 0 tu hawa
Hahaha hawachelewi kukurestisha in peaceMashine ya ukweli sana...sema tu ndiyo hivyo huku kwetu madereva wa mabasi na fuso wanadharau sana waendesha bike....hawachelewi kukukalisha..
Ndio nimepaki asante mjapani yangu. Haikuwa rahisi from Uyole saa 11 na dkk 15 mpaka saa 1 dkk 15 asubuhi!Aisee hongera mkuu
Nina mpango wa kuitembelea mikoa yote tz
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kuna siku nilikaa mbele ya ile New Force ya Tunduma, DPK toka Mlandizi.
Zile gari zinakimbia asikwambie mtu. Nilikuwa 120kph ila jamaa bado yupo nyuma yangu honi nyingi na flash lights za kutosha
Madereva wa hizi gari ni balaa. Imagine morogoro road ilivyo busy ila mtu anakamua kupita maelezo.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh, huwa na konda anasema mletee yote huyo ameionaaa lete chumaaaa... hapo hizo honj za yutong balaaa. Ukipiga honi kaa warning unasikia wanajibu ameiona huyo mletee mleteeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa wanadharau sana magari madogo aise! Na hata wakitaka kuovertake wakichungulia wakaona inakuja gari kubwa wanasubiri kwanza ila wakiona inakuja gari ndogo wanaovertake wanajua huyo atakaa tu pembeni atake asitake hana namna!
Basi utaona vigari vidogo vinavyopisha masikini wakati viko kwenye barabara yao! Huwa nacheka nasemaga ila hawa jamaa waonevu sana aise yaani yote hiyo ni kutaka kushindana na kuwahi kufika hasa madereva wa mabasi ya Dar to Mbeya and back!