Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wa buses hadi gari ndogo hawajali! On my way back ilibidi niingie pembeni kupisha Abood kipande cha Same-Hedaru
Hakuna watu wanakera kama mabasi ya mkoani. Kuna siku tuko na mama yangu na mamadogo anaendesha asubuhi kuelekea shamba mlandizi. Ubaya tulitooa muda mbaya na mabasi ya mkoa. Kulikua na tilisho nyuma na esther wanachuana... unajua panic? Mpk mamdogo wangu alishindwa control gari na ikazimika katikati kwa zile honi na fujo zao. Dereva akajua hapa mwanamama keshaloose confidence akatulia. Akawasha gari akapark lwanza kwa dk kadhaa arelax. Yaan wanakupatisha ajali unajina hawa walevi
 
Wasumbufu sana,nilijiuliza sasa ina maana kungekuwa hamna nafasi pembeni ndio angenigonga?!!
 
Pole sana mkuu. Na hapo abiria wangeungana na dereva kama wale waliompiga wa fuso wakaishia kuwekwa ndani. Ngoja nikupe siri sasa. Asubuhi unawakuta hawa madereva na maji makubwa lakini ukweli si maji ni konyagi na kvant. Wanapiga ule muda wa kuanza safari. Unaelewa vzr mtu akishajilipua anaona kama hatembei kwahiyo anakua ni kufanya extra mbinu ili apite wengine kuwahi abiria wa mbezi na vituo vya mbele. Kukugonga dk 0 tu hawa
 
Kwa wanayoyafanya barabarani naweza kuamini hizo chupa zina konyagi au k vant.
 
Hakuna watu wanakera kama mabasi ya mkoani. Kuna siku tuko na mama yangu na mamadogo anaendesha asubuhi kuelekea shamba mlandizi. Ubaya tulitooa muda mbaya na mabasi ya mkoa. Kulikua na tilisho nyuma na esther wanachuana... unajua panic? Mpk mamdogo wangu alishindwa control gari na ikazimika katikati kwa zile honi na fujo zao. Dereva akajua hapa mwanamama keshaloose confidence akatulia. Akawasha gari akapark lwanza kwa dk kadhaa arelax. Yaan wanakupatisha ajali unajina hawa walevi
Hapo ungempokea usukani, si unajua umri tena?
yale Mabasi yakishafunguliwa huwa ni mashindano na hata km likakuovertake mpishe tu tena muachie nafasi akae mbele yako unaeza shangaa akapitiliza kuomba nafasi kwingine mbele mradi tu wanafidia ile limitation speed ya 85km ukikomaa na 100speed, km/h unamuacha mbali tu. wakiikuta 50 na wanajua Traffic bado utashangaa wanavyopita, mm namuogopa KISBO
 
Kwa wanayoyafanya barabarani naweza kuamini hizo chupa zina konyagi au k vant.
Ndo ukweli. Biashara za jamaa zetu hizo. Kama Abood unayemsemea huwa wanabet... huwa yanaachiwa mawili mawili anayefila dar sijui saa 1 ama 2 nimesahau wa kwanza lkn anapewa kamishen. Yaan ufike chaap ili kugeuza. Huwa wanapewa laki kama sikosei ukiwahi wa kwanza. Atakuelewa kitu hapo?
 
Hapo ungempokea usukani, si unajua umri tena?
yale Mabasi yakishafunguliwa huwa ni mashindano na hata km likakuovertake mpishe tu tena muachie nafasi akae mbele yako unaeza shangaa akapitiliza kuomba nafasi kwingine mbele mradi tu wanafidia ile limitation speed ya 85km ukikomaa na 100speed, km/h unamuacha mbali tu. wakiikuta 50 na wanajua Traffic bado utashangaa wanavyopita, mm namuogopa KISBO
Hahahahaha unasemaje? Unaujua uoga wangu kweli? Yaani hii barabara ya Morogoro road navyoomba tu hiyo stend ikamilike waende huko mbezi na malory yapelekwe hiyo njia yao sijui ya kutokea mlandizi sijui chalinze wakafie mbali. Sina huo ujasiri mzee baba. Hapo tu nilitoa tumachozi. Si mzee sana bana. She is in her middle 40s.
 
Ndo ukweli. Biashara za jamaa zetu hizo. Kama Abood unayemsemea huwa wanabet... huwa yanaachiwa mawili mawili anayefila dar sijui saa 1 ama 2 nimesahau wa kwanza lkn anapewa kamishen. Yaan ufike chaap ili kugeuza. Huwa wanapewa laki kama sikosei ukiwahi wa kwanza. Atakuelewa kitu hapo?
Sometimes tunawalaumu wenye nguo nyeupe ila kwa akili za madereva wa mabasi acha wawe wakali tu
 
Mashine ya ukweli sana...sema tu ndiyo hivyo huku kwetu madereva wa mabasi na fuso wanadharau sana waendesha bike....hawachelewi kukukalisha..
Mkuu Kwa hizo bike kubwa dereva wa basi au Fuso lazima akuogope, na hakuna gari itakusogelea kizembe.

Madereva wa magari wakikuona na Fekon,Boxer,Tvs na Sanlg ndio wanakuvimbia. Dereva yoyote akiona bike kubwa kama BMW GS1200,Honda CBR600 lazima awe makini anajua akigusa ni msala kwake.
 
Hahahahaha unasemaje? Unaujua uoga wangu kweli? Yaani hii barabara ya Morogoro road navyoomba tu hiyo stend ikamilike waende huko mbezi na malory yapelekwe hiyo njia yao sijui ya kutokea mlandizi sijui chalinze wakafie mbali. Sina huo ujasiri mzee baba. Hapo tu nilitoa tumachozi. Si mzee sana bana. She is in her middle 40s.
Ha ha ha kwamba ungekuwa unaendesha wewe ungezimia kabisa
 
Eeeh.. weeee... nilipanic zaidi ya dereva. Honi za yutong si unazijua lakini? Na hapigi mara moja..anapiga nyingi makusudi ili uzidi kuchanganyikiwa. Ubaya ama uzuri madereva tunawajua. Walijaapoligise. Yalipogeuka kesho yake yakaja kunywa kwenye ofisi yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ugomvi unamalizwa kwa pombe. Mfieew
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
IMG-20201228-WA0045.jpg
 
Back
Top Bottom