Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
bado Gari kdogo sijawez Nunua.
Endeleen nyie
 
Ukiwa na Nissan patrol yoyote nyeupe, Nissan Hardboard nyeupe, Ford Ranger nyeupe, LX Nyeupe, Mitsubish L200 nyeupe....hapa kidogo unaweza kuwazingua trafiki....

Lakini passo, vitz and the likes...tuheshimu tu vibao..[emoji729][emoji724][emoji732]️[emoji729]
Kweli. Huwa natoka Dar mpaka Lindi bila kupigwa mkono na traffic nikiwa na na Hardbody kangu
 
Raha sana mm huwa nazunguka nchi nzima alafu unakuwa na ndinga moja very powerful yaani full speed hivi vi ist unavipita tuu kama kuku wa a kizungu anyejifunza kukimbia yaa mwanzo mwisho speed 200 km/hrs
 
Raha sana mm huwa nazunguka nchi nzima alafu unakuwa na ndinga moja very powerful yaani full speed hivi vi ist unavipita tuu kama kuku wa a kizungu anyejifunza kukimbia yaa mwanzo mwisho speed 200 km/hrs
Ha ha ha aisee!
 
Bara bara gani Tz unaendesha mwanzo mwisho 200kph..?
Hujakutana na gari za speed wewe ,siku ukikutana nazo utakuja tena kuanandika hapa ,ila kwa ki uanzia wewe tuna kupa harier natako ya nyani iliyo fanyiwa tunning ,sasa wewe na katoyota gani kago sijui fuata uone kama u yet arudi au utabaki njiani unabadikisha engine.
 
Back
Top Bottom