Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hilo hata mimi siwezi lifanya Niki click tu inarudisha home pageHata Mimi siwez fungua Attachment yoyote, Natumia APPLICATION
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo hata mimi siwezi lifanya Niki click tu inarudisha home pageHata Mimi siwez fungua Attachment yoyote, Natumia APPLICATION
[emoji38][emoji38][emoji38]..nissan patrol nyeupe....Wewe unampimia afande MurotoT 124 BFS, Nissan patrol nyeupe
Hizi zipo kila halmashauri mkuu, simaanishi wengine[emoji38][emoji38][emoji38]..nissan patrol nyeupe....Wewe unampimia afande Muroto
Dereva haamini dereva...wewe Fanya kupost matukio tu
Safari njema....safiri salama
Ha ha ha kazi ipo. Si ukiwashe mwenyewe kama una hamu ya mbio
Umeandika wosia lakini..
Hahahaha... mkuu hii njia siku hizi ina mishimo kama mabeseniHahahahahahaha hapana brother
Kipande cha himo-same hakikuwa kizuri labda kama kimerekebishwa karibuniHivi hayo mashimo mbona sikuyaona. Na nimepiga kiatu kweli kweli
Hahahaha... mkuu hii njia siku hizi ina mishimo kama mabeseni
Kumbe umesharud dar lol, wasalimie.
Kipande huwa kinaboa sana kile.....msimu wa mvua kuna sehemu nimeisau jina mafuriko yanaweza kupita juu ya barabara..Kipande cha same himo kibaya ila nimefukia na wameweka viraka ila havijaka level yani ni kama matuta ivi
Ngoja niendelee na observations nyingine.Ni kweli kabisa.
Nahisi ni sababu Arusha haina waizi wa kuchomoa side mirrors.
Weka ligi na muda.Nipo njiani natoka Moshi wakuu now nipo same puma najaza wese nipo na discovery 4 DNX 484 anyone ambae yupo njia hii anataka ligi let me know tukutane wapi nipo na Mood za mbio
Nimepata kampani ya crown majesta na land Cruiser tx naona sasa tunatembea mwendo wa ndegeWeka ligi na muda.
Jiwekee ndani ya 1 hr uwe ushakata 120km.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Lol.Kwani ukiikunja side mirror haiibiwi? Ukiivuta inafunguka. Kutofunga unaweza kuta imegongwa hata na baiskeli.