Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Boeing 747 Kaka kaka kaka nimekuita mara 3....Lenie kwanza nikwambie ule ujumbe haujapokelewa na kaka yako. Sijui anajua namtania au lah. Msisitize tasafali
Uliyoambiwa ni ya kweli, unitafute pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boeing 747 Kaka kaka kaka nimekuita mara 3....Lenie kwanza nikwambie ule ujumbe haujapokelewa na kaka yako. Sijui anajua namtania au lah. Msisitize tasafali
Senkyuu kaka ake, mie tena fastaa.You are warmly welcome dearest sister..[emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu yako inaenda kilometa ngapi Kwa Lita.Hiyo ya kwanza ndio mashine yangu
Huyo mwenye Ford ni bora alivyotulia, angelazimisha angeishia kuunguza Clutch Plate na kuwasha disco light kwenye dash board.
Samahani sina nia mbaya ila naomba kuuliza tu. usiogope. kuuliza si ujinga wahenga walisema. wewe Demu? km demu una miaka mingapi hivi? any way nisikuchoshe
Njoo in Box Mkuu! au km uko Dar rahisi sana fanya hivi nenda moja kwa moja mtaa wa swahili na siku kuu! kunako Hotel y Bakhresa agiza unavo taka Bill kwangu. au Kawe nenda ukwamani pale au ingia tu jeshini mle mpaka sehemu inaitwa Mabatini agiza unavotaka wananijua wote wale vijana!! ukija saa 2 usiku utanikuta pale lazima!
Au Tabata kimanga nenda kwa Mangi polisi Bar, au Mawenzi Bar ile ni yangu kama uko Temeke nenda My wii!! Matako bar wana huduma zote au ukitaka chips nenda paree Masangati! masaa 24 hapo. ukikwama nipigie! wana number zangu wale wote!
Mkuu yako inaenda kilometa ngapi Kwa Lita.
Maana hizo zina piston 2 na ni 1200cc, na kuitunza BMW bike ni gharama.
Gari gani hiyo 6.5m?Hii kwasasa hivi sifahamu. Nilimvua mtu kwa 6.5m ikiwa na mwaka mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenibania pabaya....hebu njoo Chuga tuendelee na upauaji wa nyumba yetu.Lenie kwanza nikwambie ule ujumbe haujapokelewa na kaka yako. Sijui anajua namtania au lah. Msisitize tasafali
Nimekusikia dada[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]...Request granted...Boeing 747 Kaka kaka kaka nimekuita mara 3....
Uliyoambiwa ni ya kweli, unitafute pls
Duuh...Hiyo bike itakuwa na pulling ya kutosha.....Maana hiyo consumption yake haitofautian na gari za cc 1300-1500Inategemea na speed yako, kama unaikamua, inaenda mpaka 13lita, kama speed ya kawaida inaenda 18lita
Ulipigwa GX 100 haizidi 3.5mGX100 miaka mitano iliopita.
Niwache kwanza 😂🏃 sijamaliza kuushangaa mji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenibania pabaya....hebu njoo Chuga tuendelee na upauaji wa nyumba yetu.
Case closed.Sawa.
yeah ndani ya mita 100 naweza kuwa nimeisha gain speed 100+Duuh...Hiyo bike itakuwa na pulling ya kutosha.....Maana hiyo consumption yake haitofautian na gari za cc 1300-1500
Umeumaliza kibingwa sanaSawa.
Safi sana ili mengine yaendeleeCase closed.
Good boyNimekusikia dada[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]...Request granted...