Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

January na February pia ni muda mzuri wa kununua gari, mtu anatoka kijijini kwao kula xmas, anarudi mjini anakuta Mwenye apartment yake anataka kodi, mwenye ule shule ya Niniliu English Medium naye hacheki anataka ada zake, basi hapo wale wasiofikirisha vichwa, huwa wqnasukuma ndinga kalinsana kwa bei za kutupwa..[emoji125][emoji125][emoji28]
We ile yako huuzi? Ukiuza niuzie mimi 😂🏃
 
Low beam haisaidii kwa trafik. Kama ulivyosema inategemea gari ulilo nalo
Ukiwa na Nissan patrol yoyote nyeupe, Nissan Hardboard nyeupe, Ford Ranger nyeupe, LX Nyeupe, Mitsubish L200 nyeupe....hapa kidogo unaweza kuwazingua trafiki....

Lakini passo, vitz and the likes...tuheshimu tu vibao..[emoji729][emoji724][emoji732]️[emoji729]
 
Ukiwa na Nissan patrol yoyote nyeupe, Nissan Hardboard nyeupe, Ford Ranger nyeupe, LX Nyeupe, Mitsubish L200 nyeupe....hapa kidogo unaweza kuwazingua trafiki....

Lakini passo, vitz and the likes...tuheshimu tu vibao..[emoji729][emoji724][emoji732]️[emoji729]
Hasa ukiwa na nissan patrol nyeupe
 
Tajiri nisaidie buku nitie chochote tumboni hali tete.
Samahani sina nia mbaya ila naomba kuuliza tu. usiogope. kuuliza si ujinga wahenga walisema. wewe Demu? km demu una miaka mingapi hivi? any way nisikuchoshe

Njoo in Box Mkuu! au km uko Dar rahisi sana fanya hivi nenda moja kwa moja mtaa wa swahili na siku kuu! kunako Hotel y Bakhresa agiza unavo taka Bill kwangu. au Kawe nenda ukwamani pale au ingia tu jeshini mle mpaka sehemu inaitwa Mabatini agiza unavotaka wananijua wote wale vijana!! ukija saa 2 usiku utanikuta pale lazima!

Au Tabata kimanga nenda kwa Mangi polisi Bar, au Mawenzi Bar ile ni yangu kama uko Temeke nenda My wii!! Matako bar wana huduma zote au ukitaka chips nenda paree Masangati! masaa 24 hapo. ukikwama nipigie! wana number zangu wale wote!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwanza sijui nimtag Dada ako? Najisikia kufanya hivyo.

Andaa road trip basi ya E. A road, Nairobi Road, nk. Ila ya E. A iwe ile ya kukunjia [emoji125]Sakina to Njiro

Nitabeba popcorn pamoja na dada etu Lenie
Mtagi tu aone tunavyochafuka na oil na grisi huku..[emoji23][emoji23][emoji23]
Arusha Namnga itakuwa poa sana....barabara ina mandhari nzuri sana ile msimu wa mvua..
 
😀😀😀 kwanza sijui nimtag Dada ako? Najisikia kufanya hivyo.

Andaa road trip basi ya E. A road, Nairobi Road, nk. Ila ya E. A iwe ile ya kukunjia 🏃Sakina to Njiro

Nitabeba popcorn pamoja na dada etu Lenie
Naomba niwepo kwenye hiyo road trip tasavali.
Najua nikiwa na nyie watu nitaenjoy na trip itabamba balaa😛
 
Back
Top Bottom