Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

hahahaaa mie huwa napiga mkono tu nikiona pikipiki
Madam huwa unapiga mkono mpaka pikipiki kubwa ambazo ni Kwa ajili ya adventure na Racing.
Kama hizi Kwanza zina muundo wa kipekee, kuanzia umbo mpaka muungurumo.
images (1).jpeg
download.jpeg
 
Jana nilipiga trip ya 200km. Changamoto nilizokutana nazo ni 3. Moja, mvua kubwa njiani hadi aliye mbele yako mita 25 humuoni hadi awashe taa. Pili, nahisi vibao vya speed limit ya 50 vimeongezwa. Hutembei hata 120kph kwa dk10 bila kukutana na kibao. Tatu, askari mmoja alitaka kunipa kosa ambalo sijafanya, kwa kusema nime overtake mahali nisiporuhusiwa. Nikakataa na kumueleza mistari ya barabarani ilikuwaje pale nilipo overtake. Akacheki kama gari ina deni, akakuta haina, akaruhusu niendelee na safari.
 
Back
Top Bottom