Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Madam huwa unapiga mkono mpaka pikipiki kubwa ambazo ni Kwa ajili ya adventure na Racing.hahahaaa mie huwa napiga mkono tu nikiona pikipiki
Kama hizi Kwanza zina muundo wa kipekee, kuanzia umbo mpaka muungurumo.