Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hakuna watu wanakera kama mabasi ya mkoani. Kuna siku tuko na mama yangu na mamadogo anaendesha asubuhi kuelekea shamba mlandizi. Ubaya tulitooa muda mbaya na mabasi ya mkoa. Kulikua na tilisho nyuma na esther wanachuana... unajua panic? Mpk mamdogo wangu alishindwa control gari na ikazimika katikati kwa zile honi na fujo zao. Dereva akajua hapa mwanamama keshaloose confidence akatulia. Akawasha gari akapark lwanza kwa dk kadhaa arelax. Yaan wanakupatisha ajali unajina hawa walevi
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi kwenda dar.

Nikafika Kongowe, sasa wakawa wanatengeneza barabara.

Likaja li Ester huko likanichomekea kwa mbele, ilibidi nisogee pembeni kabisa kumpisha.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Eeeh.. weeee... nilipanic zaidi ya dereva. Honi za yutong si unazijua lakini? Na hapigi mara moja..anapiga nyingi makusudi ili uzidi kuchanganyikiwa. Ubaya ama uzuri madereva tunawajua. Walijaapoligise. Yalipogeuka kesho yake yakaja kunywa kwenye ofisi yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan ugomvi unamalizwa kwa pombe. Mfieew
Kuna siku nilikaa mbele ya ile New Force ya Tunduma, DPK toka Mlandizi.

Zile gari zinakimbia asikwambie mtu. Nilikuwa 120kph ila jamaa bado yupo nyuma yangu honi nyingi na flash lights za kutosha

Madereva wa hizi gari ni balaa. Imagine morogoro road ilivyo busy ila mtu anakamua kupita maelezo.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi kwenda dar.

Nikafika Kongowe, sasa wakawa wanatengeneza barabara.

Likaja li Ester huko likanichomekea kwa mbele, ilibidi nisogee pembeni kabisa kumpisha.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuuu. Yaaan siwapendi mimi. Huo uoga mpk mate yanakukaukia mdomoni
 
Pole sana mkuu. Na hapo abiria wangeungana na dereva kama wale waliompiga wa fuso wakaishia kuwekwa ndani. Ngoja nikupe siri sasa. Asubuhi unawakuta hawa madereva na maji makubwa lakini ukweli si maji ni konyagi na kvant. Wanapiga ule muda wa kuanza safari. Unaelewa vzr mtu akishajilipua anaona kama hatembei kwahiyo anakua ni kufanya extra mbinu ili apite wengine kuwahi abiria wa mbezi na vituo vya mbele. Kukugonga dk 0 tu hawa
Huwa wanadharau sana magari madogo aise! Na hata wakitaka kuovertake wakichungulia wakaona inakuja gari kubwa wanasubiri kwanza ila wakiona inakuja gari ndogo wanaovertake wanajua huyo atakaa tu pembeni atake asitake hana namna!

Basi utaona vigari vidogo vinavyopisha masikini wakati viko kwenye barabara yao! Huwa nacheka nasemaga ila hawa jamaa waonevu sana aise yaani yote hiyo ni kutaka kushindana na kuwahi kufika hasa madereva wa mabasi ya Dar to Mbeya and back!
 
Kuna siku nilikaa mbele ya ile New Force ya Tunduma, DPK toka Mlandizi.

Zile gari zinakimbia asikwambie mtu. Nilikuwa 120kph ila jamaa bado yupo nyuma yangu honi nyingi na flash lights za kutosha

Madereva wa hizi gari ni balaa. Imagine morogoro road ilivyo busy ila mtu anakamua kupita maelezo.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Naziogopa hizo new force hasa hiyo routi ya songea huko tunduma.
Kuna siku alfajiri saa 11 tuko kwenye mwendokasi tunausubiria hapo kimara korogwe. Si unajua ndo muda wa yale mabasi ya mbali kuanza kutoka? Ikapita new force... unaijua kona ya kimara korogwe unavyonalizia kivuko cha waenda kwa miguu kwenda kimara mwisho ilivyo ovyo? Halaf new force ,iko 2 na mabasi mengine. Halaf huo mchaka mchaka wake. Kuna dada aliachwa na hiyo new force. Alikua anaikimbizia na bodaboda halaf alivyo jasiri akawa anapunga na mkono[emoji24][emoji24] kila mtu aliyekua like eneo aliweka mkono kichwani. Nilishindwa kuangalia kitachotokea mpk mwisho nilienda pembeni nikafunika macho nikainama kbs. Na machozi yalinitokaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walienda mbebea huko mbele sijui mbezi maana ile ni ligi. Aisee hapana. Kufa kisa hiyo nauli?[emoji119][emoji119]
 
Huwa wanadharau sana magari madogo aise! Na hata wakitaka kuovertake wakichungulia wakaona inakuja gari kubwa wanasubiri kwanza ila wakiona inakuja gari ndogo wanaovertake wanajua huyo atakaa tu pembeni atake asitake hana namna!

Basi utaona vigari vidogo vinavyopisha masikini wakati viko kwenye barabara yao! Huwa nacheka nasemaga ila hawa jamaa waonevu sana aise yaani yote hiyo ni kutaka kushindana na kuwahi kufika hasa madereva wa mabasi ya Dar to Mbeya and back!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh, huwa na konda anasema mletee yote huyo ameionaaa lete chumaaaa... hapo hizo honj za yutong balaaa. Ukipiga honi kaa warning unasikia wanajibu ameiona huyo mletee mleteeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom