Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_3143.jpg
 
Gari ikipita na kukuachia vumbi unapata mgongano wa nafsi juu ya kipi au nani kulaumu. Je ni
-Dereva
-Gari
-serikali ya mama Samia kushindwa kuweka lami
-mwenyewe kwa kutembea kwa miguu
Basi unaamua kusubiri mafua yaanze ili uende ukamfaidishe mwenye pharmacy
 
Wakuu kwa anayejua hivi wale makonda wa mabasi ya mikoani huwa wanalipwa sh ngapi na je malipo yao hutegemeana na umbali au nini? Na huwa wanasafiri kila siku au kwa shifts?
Malipo nafikiri utegemeana na kampuni husika ya basi. Naamini konda ya Shabiby halipwi Sawa na wa Champion.

Na naamini pia umbali utakuwa na mchango mkubwa kwenye kiasi anacholipwa.

Sabatho Nyamsenda, yupo UDSM anafanya kazi na hawa ‘wavuja jasho’, mcheki kwa taarifa na majibu ya uhakika
 
Shukrani Mkuu
 
Back
Top Bottom