Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimesikia diesel ndio imeshuka wala sikuwa na interest tena kujua by how much
Kuna mtu alipost hii mahali..

IMG-20211103-WA0004.jpg

IMG-20211103-WA0003.jpg
 
Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. 😎

Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.

Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.

Queen Karma , what's up .

-Kaveli-
Saint Anne namchukulia C200
 
Miaka yote pale pamekuwa pagumu kutoa watu. Ngoja tuone
Kwakweli ngoja tuone.

Mbezi wamesafisha mabanda yote stand ya daladala ipo tupu,ila nimeshangaa kkoo hata njia ya kupita hakuna kwa jinsi machinga walivyo jaa.

Hili zoezi mbona kama linachagua eneo [emoji848]!
Au wanawaogopa[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo pagumu; umesahau kuna kipindi cha jk mgambo walikuwa wanapita wanapakia hadi bidhaa za wamachinga kwenye magari na kuondoka nazo lakini ikashindikana
 
Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. [emoji41]

Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.

Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.

Queen Karma , what's up .

-Kaveli-
Nothin' just the sky bruh! How you doin'?
 
Back
Top Bottom