Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Shukrani nitamtafutaMtafte huyu0657 888 883
Au 0712 715 633
Sijui kama bado wanafanya kazi hizo ila ni bei rahisi sana na rangi iko vzr sana kama original
Ilikuwa miaka ya 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani nitamtafutaMtafte huyu0657 888 883
Au 0712 715 633
Sijui kama bado wanafanya kazi hizo ila ni bei rahisi sana na rangi iko vzr sana kama original
Ilikuwa miaka ya 2018
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti bando la mweziJamani jua ni kali sanaaa... Mkituona huko njiani sio lazima tuwapungie, ni mjiongeze tu kutusogeza [emoji23]
Jua limeunga bundle la mwezi, halitaki mchezo kabsa.
Hiyo itakuwa Kazi kubwa sana
Kuna mtu alipost hii mahali..Nimesikia diesel ndio imeshuka wala sikuwa na interest tena kujua by how much
Wasije kuwa wameshusha sh 100.Nimesikia diesel ndio imeshuka wala sikuwa na interest tena kujua by how much
Bora nirudi zangu kijijini nikalime karanga Songwe.Ungana na best naso tu rudi kijijini
Saint Anne namchukulia C200Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. 😎
Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.
Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.
Queen Karma , what's up .
-Kaveli-
Hakuna jinsi; itabidi nipunguze kuweka ligi road niende mwendo wa wastafu [emoji23]Ndio inavyoshukaga hivyo 50-100
Miaka yote pale pamekuwa pagumu kutoa watu. Ngoja tuone
Naona kuna umuhimu wa kuondoka na ziada kwenye madumu.
njoo gheto ukachukue alikuwa anakatumia bibi
Kwakweli ngoja tuone.Miaka yote pale pamekuwa pagumu kutoa watu. Ngoja tuone
Unaipata kwa mkataba maalum wa malipo kidogo kidogo
Kariakoo pagumu; umesahau kuna kipindi cha jk mgambo walikuwa wanapita wanapakia hadi bidhaa za wamachinga kwenye magari na kuondoka nazo lakini ikashindikanaKwakweli ngoja tuone.
Mbezi wamesafisha mabanda yote stand ya daladala ipo tupu,ila nimeshangaa kkoo hata njia ya kupita hakuna kwa jinsi machinga walivyo jaa.
Hili zoezi mbona kama linachagua eneo [emoji848]!
Au wanawaogopa[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothin' just the sky bruh! How you doin'?Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. [emoji41]
Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.
Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.
Queen Karma , what's up .
-Kaveli-
Hii ni ya mwezi wa 10. Bei elekezi kwa mwezi huu imeshuka
Ooh kama imeshuka basi ni vizuriHii ni ya mwezi wa 10. Bei elekezi kwa mwezi huu imeshuka
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app