Hamna shift ni kila siku mshahara inategemea mliongeaje na tajiriWakuu kwa anayejua hivi wale makonda wa mabasi ya mikoani huwa wanalipwa sh ngapi na je malipo yao hutegemeana na umbali au nini? Na huwa wanasafiri kila siku au kwa shifts?
Safari njema! Umefika wapi?Dua zenu wakuu naelekea Dodoma
View attachment 1999562
Karibu mzeeDua zenu wakuu naelekea Dodoma
View attachment 1999562
Malipo nafikiri utegemeana na kampuni husika ya basi. Naamini konda ya Shabiby halipwi Sawa na wa Champion.Wakuu kwa anayejua hivi wale makonda wa mabasi ya mikoani huwa wanalipwa sh ngapi na je malipo yao hutegemeana na umbali au nini? Na huwa wanasafiri kila siku au kwa shifts?
Shukrani MkuuMalipo nafikiri utegemeana na kampuni husika ya basi. Naamini konda ya Shabiby halipwi Sawa na wa Champion.
Na naamini pia umbali utakuwa na mchango mkubwa kwenye kiasi anacholipwa.
Sabatho Nyamsenda, yupo UDSM anafanya kazi na hawa ‘wavuja jasho’, mcheki kwa taarifa na majibu ya uhakika
Hapa n wapi? Ushamba huu mie, [emoji23][emoji23][emoji23]Represent...
View attachment 1999869
Jumapili mchana napita dodoma 😀😀😀Ngoja Holy Man aje
Mungu akutangulie mkuuDua zenu wakuu naelekea Dodoma
View attachment 1999562