miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ndo yanayotokaga ya kwanza ubungo. Kuna siku kdg nitapike nyongo kisa kukimbilia.Hili basi la Esta hili....kuna mtu limeshamkera huko juu.... mpaka akaliita Liesta..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahaKule manyara ni giza kweli. Na sitaman kabisa kusafiri kipindi hicho. Si wakumbuka hata zile school bus za lucky vicent ziliuaga kipande hicho? Dereva hakua anajua akawa anatembea na Yesu tu basi yesu akampokea
Good. Siku itabidi tuwe na a road trip ila hayo mabasi makubwa hapana. Sigusi usukaniHata mimi napenda sana yale magari makubwa na magumu magumu
Mie kwa kweli sijui kama hayo maisha ya ki sister du nitakuja kuyaweza hata nikiwa mzee yaani mie napenda haya maisha ya hivi yameniepusha na mambo mengi mno
SureeHahaha
Aiseee
Yeah halafu ukipenda unachokifanya wala hautaangalia mazingira au mshahara! Ndiyo maana namkubali sana dogo Ashraf yule traffic wa kile kipande cha Mbezi Beach - Kawe anayechezaga barabarani yaani yule ndiyo definition ya mtu kupenda kazi yake!Mtu ukishachagua career yako ndo hiyo bana. Hatunaga mambo mengi sisi.
Hahaa sawa dada! Mambo yakikaa sawa tutapanga tu!Good. Siku itabidi tuwe na a road trip ila hayo mabasi makubwa hapana. Sigusi usukani
Yaani tupo Sawa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu... unajua nacheka sana. Unanikumbusha mbali sana. Hivi Laswai bado yuko Esther? Hajaja kula nyama choma kwetu muda kweli.
Honestly vitu navyopendaga najishangaa sana. Na watu ndo wananishangaa zaidi maana napenda vitu vya kiume sana. Yaan kiujumla napenda mambo magumu magumu kama haya. Yaan wananiulizaga kama ni mwanamke. Kuna siku hapo stendi ya Arusha nilipelekwa nichague basi. Yalikuwepo mazuri yale ya kishua. Sikujibu kitu. Nikaenda na begi langu nikapanda ngorika na nikakaa kwenye siti yangu. Acha wahuni wa stend wanishangilie najua vitu vikali[emoji23][emoji23][emoji23]...
Siku nyingine miye na buffalo...
Yaan nilikuaga napenda pale kona kali ya old korogwe kwenda stend mpya hapo njia panda ya handeni jinsi ngorika na buffalo zikipita engene zinavyopumua. Yaan dereva akikosea ile kona anapitiliza mpk magoma[emoji23][emoji23]. Shule mimi ndo mkatisha tiketi... yaani kiume ume. Nilikua napenda ligi balaa.
Niko radhi kuuza spare za magari, pikipiki ama bajaj na si viatu wala gauni mpk leo. Basi baba anafurahiiii[emoji23][emoji23] anasema hakika nina kichaa mwenzangu.
Li esta halina shida bwana limetuokoa safari za vijijiniHili basi la Esta hili....kuna mtu limeshamkera huko juu.... mpaka akaliita Liesta..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hatari ninayoogopa kuendesha usiku.Aminaaa...
Hofu yangu kubwa usiku ni ile unakytana na vicheche aisee. Mtu anaemdesha mgari hakuna taa hata moja. Huo mshtuko naupataga acha kbs. Mara nyingi kama dereva akajisahau ndo ile unakuta mtu kaparamia lorry usiku
Halafu fujo za kipuuzi maanake njia ikifunguka unamkuta mbele anachechemea. Huwa nawaambia abiria wangu mabasi hayana mwendo yana fujo.Yaani kwa ujumla basi lolote si salama kabisaa kwa gari ndogo...
Hii barabara yetu ya kaskazini, mabasi yanayotoka Arusha kwenda Dar au Dar Arusha....yana fujo sana kwenye kipande cha Arusha mpaka Himo njia panda.......
Ewaaaa. Nampenda sana pia japo si route yangu. Anaenjoh sana kazi yake. Hajapandishwa cheo jamani?Yeah halafu ukipenda unachokifanya wala hautaangalia mazingira au mshahara! Ndiyo maana namkubali sana dogo Ashraf yule traffic wa kile kipande cha Mbezi Beach - Kawe anayechezaga barabarani yaani yule ndiyo definition ya mtu kupenda kazi yake!
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji1666][emoji1666][emoji1666] halaf route iwe ya kiumeHahaa sawa dada! Mambo yakikaa sawa tutapanga tu!
Ha ha ha ha kiukweli kabisa napenda mno engene ya scania inavyonguruma. Yaan najisikiaga rahaa na mzukaaa. Kun clip fuan hivi sema nilijaifuta maana sasa nilijiuliza kama me mwanamke ama mwanaume. Hiyo clip iko kwenye ile page ya northerners buses insta. Ila iko chini sana last year May kama sikosei. Ni basi la Mghamba scania ndo limeeqshwa hapo stendi sijui moshi vile ama arusha sikumbuki vizuri. Yaani dogo ni anajua kunogesha anakuambia sikilizia chuma la kaskazini hilo babake, chuma kinapumua. Sikia mlio huo halafu anaunguruma kama scania lenyewe anamalizia ni laana babake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] heeh jamani. Ngoja niutafuteYaani tupo Sawa,
binafsi nimepanda mafuso Tandam saa nikisikia linavyopumua kuna Kafeeling Fulani napata,
nadhani nilitakiwa niwe kwenye Hiyo industry huwezi elewa nilivyopata mzuka Leo yaani kama siyo heka heka za mji kesho ningeenda hata Moro tu nichangamshe ubongo..
Laswai ni wa Rombo?
nafahamiana na wale wa Kiomboi ndo njia yangu
Lasway agent yule.deeva sinaga mazoea naeYaani tupo Sawa,
binafsi nimepanda mafuso Tandam saa nikisikia linavyopumua kuna Kafeeling Fulani napata,
nadhani nilitakiwa niwe kwenye Hiyo industry huwezi elewa nilivyopata mzuka Leo yaani kama siyo heka heka za mji kesho ningeenda hata Moro tu nichangamshe ubongo..
Laswai ni wa Rombo?
nafahamiana na wale wa Kiomboi ndo njia yangu
Yaan wana tabia mbayaaa. Wameshauza uhai wao aisee. Hawaogopi hataaa. Wana laana kweli kweliHao madereva wa mabasi hiyo tabia Yao ya kujichomeka au kuovateki ghafla huwa wanakucheki wewe mwenye gari ndogo wakichomoa kidogo ukamkwepa lazima atembee mbele.
Pia anaweza akauwashia taa na honi nyingi kisha anaovateki gari moja au mbili ili akae mbele kuwazidi wenzie na akitoa kipande cha mbele anajua lazima utampa fair akae mbele yako.
Hahhaaaa mghamba jamaa alikimbiza sana kipande cha Mwanza-Arusha kipindi lile Hamna tochi,Ha ha ha ha kiukweli kabisa napenda mno engene ya scania inavyonguruma. Yaan najisikiaga rahaa na mzukaaa. Kun clip fuan hivi sema nilijaifuta maana sasa nilijiuliza kama me mwanamke ama mwanaume. Hiyo clip iko kwenye ile page ya northerners buses insta. Ila iko chini sana last year May kama sikosei. Ni basi la Mghamba scania ndo limeeqshwa hapo stendi sijui moshi vile ama arusha sikumbuki vizuri. Yaani dogo ni anajua kunogesha anakuambia sikilizia chuma la kaskazini hilo babake, chuma kinapumua. Sikia mlio huo halafu anaunguruma kama scania lenyewe anamalizia ni laana babake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] heeh jamani. Ngoja niutafute
Yes. Yaan naogopa vibaya mno. Sasa kuna watu wanakuambia usiku ndo wanapenda kuendesha kwakua ni rahisi kumuona mwenzako lakini mimi nawazaga vicheche. Juzi tu hapo mwaka huu tunaenda rout ya moshi hapo korogwe si unajua zile kona za korogwe msambiazi? Sasa tukakutana na kichanja. Bora hata lingekua kontena utaliona kwa mbali na reflectors. Yaan dogo ndo anaamsha amsha dude hili hapa kubwa jinga na dereva anatembeza hilo likicheche balaa. Huwez amini hata taa moja halina ila dereva anatembea vzr bila wasiwasi. Nilijiuliza maswali sikupata majibu.Ndio hatari ninayoogopa kuendesha usiku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaelewa mghamba. Yaan. Kuna hata ya rombo mwanza. Yaan wana fujoHahhaaaa mghamba jamaa alikimbiza sana kipande cha Mwanza-Arusha kipindi lile Hamna tochi,
ukirushwa Kwenye bumps unanyanyuliwa kwenye siti unarudishwa chini,
ukizubaa mpaka ufike una majeraha.
jamaa naona Yutong hajayapa nafasi.