Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
kama nyoka pangoni ππIkiwa speed 120+ inakuwa tamu, na inavyojua kuteleza π€£π€£
Sawa na kusema kwanini Tanzania inunue vifaru na mabomu wakati kuna amani.Ooooh yeaaah. Naenda nayo vizuri.
inaniweka mujini.
Sihitaji gari yenye speed sijui 240, kwa barabara gani hapa Bongo.
Kilometer tano mbele umepigwa mkono, ghafla mataa yale pale.
Hujatulia zebra crossing, unakanyaga mafuta ng'ombe wale pale. Paaap shimo hilooo.
Kwa furniture BMW akasome sana kwa bwana Benz ... Benz acha kabisaaaHaya mafenicha ya kibabe mno[emoji39]
Unaenda wapi hapo benz ama bmw? View attachment 2006549View attachment 2006550
Beamer jana na leoHaya mafenicha ya kibabe mno[emoji39]
Unaenda wapi hapo benz ama bmw? View attachment 2006549View attachment 2006550
Watoto wa kirangi tu...Singida sijui kuna nini... View attachment 2006709
Nlipita juz,kumbe ipo km unaelekea mikese, yaan design km magufuli hostels,[emoji23][emoji23][emoji23]Cate Hotel Morogoro
Ooooh kumbe, vipi hujarud bado?Miss you too mdogo wangu. Hata sipo mjini dear ila nitarudi siku si nyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zimepatikana za laki 2 Saint Anne [emoji3]
Tusingizie nini tena? Au tuna allergy na petrol ?
View attachment 2000776
Hizo sasa ndo kockpit za kibabe haswa hiyo ya benzHaya mafenicha ya kibabe mno[emoji39]
Unaenda wapi hapo benz ama bmw? View attachment 2006549View attachment 2006550
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tutakuchapa πππ
hawa wapo dodoma mkuu πππWatoto wa kirangi tu...
Benz kwa furniture za gheto hatari na sanaaaHizo sasa ndo kockpit za kibabe haswa hiyo ya benz
[emoji23][emoji23][emoji23] sku ile ulipowekaa hapa, nlijua n Magufuli hostel wallah,Tutakuchapa πππ
Jmoc una ratiba gan mommah?Nimerudi dear
Duh wameanza kuyauza tena π huyo jamaa wa pre-order itabidi tumtafute! Mzigo 400M cash dah
yatakuwa mabovu huenda πππDuh wameanza kuyauza tena π huyo jamaa wa pre-order itabidi tumtafute! Mzigo 400M cash dah