Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ooooh yeaaah. Naenda nayo vizuri.

inaniweka mujini.

Sihitaji gari yenye speed sijui 240, kwa barabara gani hapa Bongo.

Kilometer tano mbele umepigwa mkono, ghafla mataa yale pale.

Hujatulia zebra crossing, unakanyaga mafuta ng'ombe wale pale. Paaap shimo hilooo.
Sawa na kusema kwanini Tanzania inunue vifaru na mabomu wakati kuna amani.

Haya mambo waache wenye hobby zao.
 
Haya mafenicha ya kibabe mno[emoji39]
Unaenda wapi hapo benz ama bmw?
20211111_072939.jpg
20211111_072935.jpg
 
Back
Top Bottom