Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Mie nipo kazini siku zote tu mwaya sina ratiba maalum. Si unajua tena kazi zetu hizi ambazo hazina weekends wala holidays.

Yaani kuwa off hakutegemei weekend wala holiday. Kwamba siku yoyote tu ukijikuta huna kazi kabisa ndiyo inakuwa off yako hiyo.
Duuuuh hongeren kwa kweli, kazi ambayo hata uamshwe SAA 8 usku, lazima chap uwe kazin duuuh.
Mna moyo saan, na muwe hivyo tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila baadh yenu wanatesa San wanaoenda kwa mujibu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo kama jengo la utawala la udom

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie alivotuma nljua magufuli hostels wallah, et n hotels khaaah,
Ndo juz kupita pale naiona, ujue nlicheka sana, ukute ile hotels n ya mdau fulan wa chuo, kachakachua pesa we kaweka jengo lake, pale, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ