Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee lazima bovu hili gari, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23]umeanza jifunza uchawi eee
Duuuuh hongeren kwa kweli, kazi ambayo hata uamshwe SAA 8 usku, lazima chap uwe kazin duuuh.Mie nipo kazini siku zote tu mwaya sina ratiba maalum. Si unajua tena kazi zetu hizi ambazo hazina weekends wala holidays.
Yaani kuwa off hakutegemei weekend wala holiday. Kwamba siku yoyote tu ukijikuta huna kazi kabisa ndiyo inakuwa off yako hiyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nlipita juz,kumbe ipo km unaelekea mikese, yaan design km magufuli hostels,[emoji23][emoji23][emoji23]
Mujibu hawateswi bhna. Wanawapa mazoezi as instructed...tena tunawabembeleza kabisaa mujibu aseeDuuuuh hongeren kwa kweli, kazi ambayo hata uamshwe SAA 8 usku, lazima chap uwe kazin duuuh.
Mna moyo saan, na muwe hivyo tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila baadh yenu wanatesa San wanaoenda kwa mujibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie alivotuma nljua magufuli hostels wallah, et n hotels khaaah,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo kama jengo la utawala la udom
Sent using Jamii Forums mobile app
Na muache utapeli na wizi wa kupokea pesa za wanaotaka kutoroshwa, na hamuwatoroshi af mnawapa adhabu kali, khaaaahMujibu hawateswi bhna. Wanawapa mazoezi as instructed...tena tunawabembeleza kabisaa mujibu asee
[emoji23][emoji23][emoji23]Na muache utapeli na wizi wa kupokea pesa za wanaotaka kutoroshwa, na hamuwatoroshi af mnawapa adhabu kali, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nini sasa? Khaaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo sio utapeli.
Huu ukanda una raha yake , hapo kateshi safi babati hiyo unajikongoja mdogo mdogo nafsi inakuwa inafurahi tu kuanzia maazingiraLazima iwe hivyo maana haipiti mwezi ushafika Singida
Acha kujizungusha😄😄😄ingependeza ungejibu swaliSingida raha banaaa 😀😀😀
Na ni hodari sana huyu kiumbe........kiasi nataka nipendekeze aliachie Hilo jina la holy😄😄😄Jamaa mvuvi maarufu
Japo ni mshabiki wa makalio ya kihindi .........ila wamezingua sana kwenye hiyo real side haswa kwenye tail lampsEeh mkuu 300 series wameizingua sana matakoni🤣 ina matako ya kihindi
RS6 ni habari ingine .. BMW aende darasani tenaaBavaria Holy Man
View attachment 2008045View attachment 2008046
BMW imefukuza mpaka imechoka RS6 haikuti
Kuna watu wanasemaga hawapendi gari nyeupe ila sielewi kwanini wanadai hivyou! Gari jeupe liko na mvuto sana.