Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Thamani ya Figo yako utaishia kupata Dualis, ukizidi Saana labda matako ya nyani. Kukaa kwenye huo mkoko labda ukauze ile kitu ingine, Tena ukauzie mambele huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah noma sanaaa anauza figo zote mbili na hela haitoshi badoThamani ya Figo yako utaishia kupata Dualis, ukizidi Saana labda matako ya nyani. Kukaa kwenye huo mkoko labda ukauze ile kitu ingine, Tena ukauzie mambele huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma Sana tutafute hela.Dah noma sanaaa anauza figo zote mbili na hela haitoshi bado
hatari sanaInauma Sana tutafute hela.
dah! nimekosa lift kizembe kabisaKama kuna mdau anaenda moshi/arusha/orkasment-mirerani
Nipo puma mwenge najaza mwarabu
Chuma haitasinzia mwanzo mwisho
[emoji3][emoji3]dah! nimekosa lift kizembe kabisa
Dah! siku ingine, si kuna kitanda kwenye gari yako .. raha sana kuuchapa usingizi kwenye gari kwenye chuma kama hicho kikubwa[emoji3][emoji3]
Pole naitafuta bondeni nipo lugalo hapa kabla ya njiapanda ya kawe kwenye vitaa
Ni wivu tu! Wewe umepanda lipi?Karma ndio tushampita mnyama wako asubuhi na mapemaView attachment 2018237
Mnyama wako vitisho tu.Ni wivu tu! Wewe umepanda lipi?
Juzi kuna moja iliivaa bodaboda wapi sijui! Ila mnyama atabaki kuwa mnyama tu usifananishe Mercedes Benz au Scania na hizo Yutong zenu!
Halafu unashangiliaje wakati ligi ndiyo kwanza inaanza! Hizo pitanapitana za njiani ni Kawaida tu mbona!Mnyama wako vitisho tu.
Ila nimekasirika kametupita askari alitusimamisha.
Nimepanda ileile niliyopanda mwanzo.
[emoji16][emoji38]Halafu unashangiliaje wakati ligi ndiyo kwanza inaanza! Hizo pitanapitana za njiani ni Kawaida tu mbona!
Subiri jioni ligi ikiisha pale finish line Mbezi ndo pataamua nani mbabe! Saa hizi mapema sana kushangilia!
Karibu jiji la joto. [emoji23][emoji23][emoji23]Karma ndio tushampita mnyama wako asubuhi na mapemaView attachment 2018237
Haha we sema tu kwa vile umeona ubahili kuongezea hiyo Buku 4 ili nawe upande Sauli ndiyo maana unaipondea huna lolote [emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji38]
Lazima mkubali Al saedy ndio mbabe.
Hakuna cha kaimani wala kamnyama kenu[emoji3]
Tushawapiga bao kwenye mzani.View attachment 2018319View attachment 2018320
Zijawahi kuizimikia hiyo gari, kwanza inatisha[emoji16]Haha we sema tu kwa vile umeona ubahili kuongezea hiyo Buku 4 ili nawe upande Sauli ndiyo maana unaipondea huna lolote [emoji1787][emoji1787]