Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

...
20211119_131902.jpg
20211119_151218.jpg
20211119_151447.jpg
 
Mnyama wako vitisho tu.
Ila nimekasirika kametupita askari alitusimamisha.

Nimepanda ileile niliyopanda mwanzo.
Halafu unashangiliaje wakati ligi ndiyo kwanza inaanza! Hizo pitanapitana za njiani ni Kawaida tu mbona!

Subiri jioni ligi ikiisha pale finish line Mbezi ndo pataamua nani mbabe! Saa hizi mapema sana kushangilia!
 
[emoji16][emoji38]
Lazima mkubali Al saedy ndio mbabe.

Hakuna cha kaimani wala kamnyama kenu[emoji3]
Tushawapiga bao kwenye mzani.
20211121_091518.jpg
20211121_091809.jpg
 
Haha we sema tu kwa vile umeona ubahili kuongezea hiyo Buku 4 ili nawe upande Sauli ndiyo maana unaipondea huna lolote [emoji1787][emoji1787]
Zijawahi kuizimikia hiyo gari, kwanza inatisha[emoji16]

Kumbe Nauli yake ni 44?
Aiseee!!!
Imani ndio the most luxury car kwa route yetu ila nauli yake ni 40.

Nilitaka nipande Imani nikakosa seat nzuri.
 
Back
Top Bottom