Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hahahaha![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wengine weshabadili majina ole wako ha ha haaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na anawakomesha kweli yani mpaka anajiamisha mpaka inakua kweli. Ila awe makini inaweza tokea bahati mbaya siku ha ha haaa
@Manga MLNa anawakomesha kweli yani mpaka anajiamisha mpaka inakua kweli. Ila awe makini inaweza tokea bahati mbaya siku ha ha haaa
Hahahaaa kwa usiku najua tu nitalala.Duh huwa siamini mtu kabisa, siwezi kupata usingizi.
Mii simo bhana ameshafanya tumuone ni dada yetu mpendwa maana hata umkaribishe hom hakatai na wala hapepesi macho hatakama una nia ovu inayeyuka anakua dada tu@Manga ML
Una mpango kabambe na hiyo bahati mbaya ?!!
Hahahaha weeeee. Jichanganyeee[emoji38]
Uzuri humu watakatifu ni wengi.
Heeheee graduu ya wapi tena tarehe hizo?[emoji38][emoji38]
Ndio hadi nipate lift.
Nataka niende graduu za madogo tarehe kumi na kitu hivi.
Sasa wewe si. Ni mtoto wa mama jamani. Unampeaje kimbato mtoto wa mama mdogo jamani[emoji26]OOOH vipi tena unakatisha kumbato? Usifanye hivyo miss
He he he kama unanipea lift basi ujue nakaa kushoto kwako dereHuyo baba atakukosesha wachumba!
Ndio maana yake...unisaidie ku navigateHe he he kama unanipea lift basi ujue nakaa kushoto kwako dere
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Binamu nyama ya........Sasa wewe si. Ni mtoto wa mama jamani. Unampeaje kimbato mtoto wa mama mdogo jamani[emoji26]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nitakusaidia. Na tumasaji twa hapa na pale ukiwa unasukuma wheelNdio maana yake...unisaidie ku navigate
[emoji2222][emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23]Binamu nyama ya........
Kituo kila 50km 😛😛😛Nitakusaidia. Na tumasaji twa hapa na pale ukiwa unasukuma wheel
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ikikupendeza..