Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Brand matters, Jag wanapata shida sana kushawishi vijana wanunue. Hata hizi zilizowekwa hapa wamejitajidi kuachana na conservative design zao kuvutia vijana lakini bado. Anyway wapo vijana wananunua pia.
For sure. Hata mimi nikipata mabovu ya kutosha, RS6 C7 ndiyo mpango mzima. Nikishindwa basi hata hiyo Jag V8.
 
Nishawafikisha ndugu zangu na gari yao DWW nimeitoa mafua, nimepanda Coaster Niko njiani narudi sasa. Kesho nina kazi Dar. Nitapanda huku tena na Fuga on 23rd.

Road trip na ziendelee wakuu.
View attachment 2041330View attachment 2041331
Umefanya la maana, maanake sio kila mtu anaweza kuendesha long trip. Miezi hii ajali nyingi kwasababu kila alenunua gari anataka aendel nalo kijijini kwao
 
Umefanya la maana, maanake sio kila mtu anaweza kuendesha long trip. Miezi hii ajali nyingi kwasababu kila alenunua gari anataka aendel nalo kijijini kwao
Hizi mambo zina wenyewe, na wenyewe ndio sisi.

Yani nimekifinya kile ki 4cylinder 2360cc kinalalamika lakini wapi mi nakibinya tu [emoji1787][emoji1787]

Leo ndio nimejua just how much more powerful the 3.5L is, watu wanavyosua sua kuovertake sio kosa lao, torque hairuhusu.

Kwakweli kisahani hapana kwa hii gari

 
Rpm 6000?!! Utajua hio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
3.5L kwenye body ya sedan habari ingine mkuu. 2GR hio si mchezo. Mimi na 4GR tu kufuta kisahani ni sekunde kadhaa tu
 
Rpm 6000?!! Utajua hio [emoji23][emoji23][emoji23]
Haitakaa ifikie tena hizo RPM wala hyo spidi maishani kwake hapa nchini maana ni ya mstaafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliionea huruma nikawa na max at 140 kidogo linatulia.

Ila kwakweli road trip ni dereva, tumeyakata magari kibao of similar power yaliyokuwa yanalega lega
 
3.5L kwenye body ya sedan habari ingine mkuu. 2GR hio si mchezo. Mimi na 4GR tu kufuta kisahani ni sekunde kadhaa tu
Juzi nilikuwa najaza full tank, pump attendant akashangaa wese la 170k kuingia kwenye gari ndogo, hata Harrier hazipokei that much.

Nikamwambia we iite tu gari ndogo, subiri siku ukutane nalo in action [emoji1787][emoji1787]

Hizi sedans ni overpowered kwakweli.

Japo wana msemo, "If your car doesn't scare you a little, it is not powerful enough "
 
Hio 3.5 bado sio powerful kwako? Ushaizoea hata ukipata 5.0 utaizoea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ