Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wazee wenye mawe ndio wanamiliki Jaguars😅 sio wazee tu!Brand matters, Jag wanapata shida sana kushawishi vijana wanunue. Hata hizi zilizowekwa hapa wamejitajidi kuachana na conservative design zao kuvutia vijana lakini bado. Anyway wapo vijana wananunua pia.