Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ha ha ha ha mna roho ngumu sana aisee. Yaani bodi ya gari na tako[emoji23][emoji23]
Ukiwa kwenye hizo SUV unawakazia hizo honi kwetu ni kama beat la mziki. Hakuna basi itayokupa body yeye mwenyewe anaogopa kukwangua gari.

Hizo honi zao,taa,lesi kibao na kutokeza kidogo ukitishika wewe ndio unakuwa muhanga Kwa kuingia pembezoni na kupata ajali, hawa madereva wa mabasi wamesababishia wengi ajali tena Muda WA usiku mtu anakosa control na madhara yanakuwa makubwa.
 
Hapo umekosa Milo..

Snickers ndio burudani yangu.
 
Hahahaha
Hao madereva si huwa wanakulaga bure kwenye haya mahotel? Ofcourse hawez nisahau.

Kipande cha bagamoyo kinakera maana unatoka mkuku huko kote ukifika hapo foleni. Tulifika bgamoyo saa 7 na nusu ila hapo dar tumeingia saa 10 kasoro tena na kapricon ya kwanza. Si ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…