Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ha ha ha ha mna roho ngumu sana aisee. Yaani bodi ya gari na tako[emoji23][emoji23]
Ukiwa kwenye hizo SUV unawakazia hizo honi kwetu ni kama beat la mziki. Hakuna basi itayokupa body yeye mwenyewe anaogopa kukwangua gari.

Hizo honi zao,taa,lesi kibao na kutokeza kidogo ukitishika wewe ndio unakuwa muhanga Kwa kuingia pembezoni na kupata ajali, hawa madereva wa mabasi wamesababishia wengi ajali tena Muda WA usiku mtu anakosa control na madhara yanakuwa makubwa.
 
Aaahahahahahahahaaaaa weeeeuweeeeeeeeeee

Utafanya watu wakifika njia panda Mombo wakate kulia kuchungulia Bataringaya na Kasie kunani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1650677

Nimejikoki hatariii [emoji12][emoji12]
Sipotezi pointi hata moja ahahahahahaa

View attachment 1650676

Vitendea kazi vyote vipo kamili na kuzidi, kazi kwako...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

K’ Matata.
Hapo umekosa Milo..

Snickers ndio burudani yangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Nadhani ungemuambia kuwa mkifika Korogwe mnakula wote lunch, lazima angekukumbuka...

Yaani safari Arusha Dar hiki kipande cha Arusha mpaka Himo sikipendi kabisa..

Kipandw kingine nisichokipenda ni Bagamoyo mpaka Uinge Dar au Chalinze mapaka Ufike Dar....

Hivi vipande nikivikumbuka vinaniondolea mzuka wa safari kabisa
Hahahaha
Hao madereva si huwa wanakulaga bure kwenye haya mahotel? Ofcourse hawez nisahau.

Kipande cha bagamoyo kinakera maana unatoka mkuku huko kote ukifika hapo foleni. Tulifika bgamoyo saa 7 na nusu ila hapo dar tumeingia saa 10 kasoro tena na kapricon ya kwanza. Si ujinga huo
 
Back
Top Bottom