Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Ukiwa kwenye hizo SUV unawakazia hizo honi kwetu ni kama beat la mziki. Hakuna basi itayokupa body yeye mwenyewe anaogopa kukwangua gari.Ha ha ha ha mna roho ngumu sana aisee. Yaani bodi ya gari na tako[emoji23][emoji23]
Hizo honi zao,taa,lesi kibao na kutokeza kidogo ukitishika wewe ndio unakuwa muhanga Kwa kuingia pembezoni na kupata ajali, hawa madereva wa mabasi wamesababishia wengi ajali tena Muda WA usiku mtu anakosa control na madhara yanakuwa makubwa.