Ndio maana nimeacha kusafiri usiku. Hatari sana
Wahuni tu wale jamaa😅 sasa Lexus with same engine and parts inaenda 260KPH kwa marekani na ulaya huko ila wao kwa sababu Japan hawana barabara wamelimit 180KPH!Ila walioweka limiter sio wajinga.
Bora kung’oa limiter tu kwa gari yenye 4GR na body zito haina madhara😅 mtu atashangaa tu mbona ile gari siifikii hapo yuko 220 anashangaa yule mjapani vipi!Mambo ya computer hayo. Wanatoa kwa 1m mpaka 2m
Zipo chache zenye injini ya 1NZ yenye turbo ilitumika kwenye Vits Rs.Kuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo😅 kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Hivi kumbe kuna 1NZ yenye turboZipo chache zenye injini ya 1NZ yenye turbo ilitumika kwenye Vits Rs.
😂😂😂Ifike mahali serikali ipige marufuku watu wasio na hela kutumia magari.
Kama wana eleweka si waje mazungumzo ya herufi kubwa plus vigezo na masharti kuzingatiwaMkuu taratibu kuna Uzi nimekuta wadada wanalalamika sana tunaziponda Toyota!
Bwanaa weee, maisha matamu kila kinacho hatarisha maisha ni vyema kukaa nacho pembeni, usiku hatari sana kwanza hu injoy safari.. sasa hivi policy yangu mpya nikiwa na route ndefu mwisho masaa nane kuendesha hayazidi hapo na ni. mchana, kuna mambo mengi sana tunatakiwa kuyafanyaNdio maana nimeacha kusafiri usiku. Hatari sana
Kweli kabisa, masaa nane yanatoshaBwanaa weee, maisha matamu kila kinacho hatarisha maisha ni vyema kukaa nacho pembeni, usiku hatari sana kwanza hu injoy safari.. sasa hivi policy yangu mpya nikiwa na route ndefu mwisho masaa nane kuendesha hayazidi hapo na ni. mchana, kuna mambo mengi sana tunatakiwa kuyafanya
Aah! kuna kamoja kalinivimbia nikawa najisemea ka IST gani haka, japo nilikachapaZipo chache zenye injini ya 1NZ yenye turbo ilitumika kwenye Vits Rs.
Man sikuwahi kujua basi nilihisi ile gari ni sababu wameweka 1.5L ndio maana wakaiita RS. Kumbe ni sababu ya ka turbo ndio nimefatilia naona inazalisha 148HP on maximum throttle. Ina mwendo msee kulingana body to weight ratio yake.Kwani hujui kuwa Vits RS kana turbo?
Kasumbufu hako kadude 😂😂😂Man sikuwahi kujua basi nilihisi ile gari ni sababu wameweka 1.5L ndio maana wakaiita RS. Kumbe ni sababu ya ka turbo ndio nimefatilia naona inazalisha 148HP on maximum throttle. Ina mwendo msee kulingana body to weight ratio yake.
Kuna dogo alinunuliwa hako na mama yake ili aanzie maisha uber ila cha ajabu naona anakapigia misele tu😅 anakimbia kimbia hovyo mtaani kumbe kana mzuka wake!Kasumbufu hako kadude 😂😂😂
Leo ndio nimepata jibu sasa, kuna vina Turbo, sikuwa najua.Utakapita mbele ila utajiuliza haka kana nini!!
Unaelekea wapi mpendwa? Umeanza vacation mapema?Ila wazee si mngenipa lift tu[mention]Jack Palladino [/mention]
[mention]RRONDO [/mention] [mention]Kijana wa hovyo hovyo [/mention]
Nimepanda gari inanuka mkojo sidhani kama natoboa [emoji19]