Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Unaelekea wapi mpendwa? Umeanza vacation mapema?
Nimetoka Moro narudi Dar
Vacation bado,, nasaka manoti tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelekea wapi mpendwa? Umeanza vacation mapema?
Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom.Kuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo[emoji28] kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Sio poa kabisa hizo IST si subiri sanaNi nasepa na vits RS manual transimision
Ulikimbiza li V8 na haka? Ni RS?Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom. View attachment 2043648
Hahahahahah yani mkuu wa Mkoa anakumaindi kisa Vits RS😅Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom. View attachment 2043648
Hahahah halafu hakupiti anakuwa nyuma nyuma tu ukipunguza anapunguza😅Wamemind kufuatwa nyuma....sometime mtu anakufuata hadi unampisha apite. Unakuwa uncomfortable
Mfanye hivyo aiseeeNaona kuna haja ya kupin hii tarehe na muda maana wadau wengi humu watakuwepo.
Unapaki gari pembeni.Hahahah halafu hakupiti anakuwa nyuma nyuma tu ukipunguza anapunguza😅
Ndicho alichofanya mwenye VXUnapaki gari pembeni.
Inaumiza sana roho!!Wahuni tu wale jamaa[emoji28] sasa Lexus with same engine and parts inaenda 260KPH kwa marekani na ulaya huko ila wao kwa sababu Japan hawana barabara wamelimit 180KPH!
Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?Bwanaa weee, maisha matamu kila kinacho hatarisha maisha ni vyema kukaa nacho pembeni, usiku hatari sana kwanza hu injoy safari.. sasa hivi policy yangu mpya nikiwa na route ndefu mwisho masaa nane kuendesha hayazidi hapo na ni. mchana, kuna mambo mengi sana tunatakiwa kuyafanya
Power to weight ratio sio... Kakiku hata tani 1 hakana ila kana mahp kibaoMan sikuwahi kujua basi nilihisi ile gari ni sababu wameweka 1.5L ndio maana wakaiita RS. Kumbe ni sababu ya ka turbo ndio nimefatilia naona inazalisha 148HP on maximum throttle. Ina mwendo msee kulingana body to weight ratio yake.
Kanaweza peperuka aiseePower to weight ratio sio... Kakiku hata tani 1 hakana ila kana mahp kibao
Na hiyo ndiyo satisfaction anayoipata mwenye nacho.... Pale unampita unageuka kushoto kumuangalia ndani vizuri. Raha iliyojeUtakapita mbele ila utajiuliza haka kana nini!!
Mkojo mdogo au mkojo mkubwa?Ila wazee si mngenipa lift tu[mention]Jack Palladino [/mention]
[mention]RRONDO [/mention] [mention]Kijana wa hovyo hovyo [/mention]
Nimepanda gari inanuka mkojo sidhani kama natoboa [emoji19]
Mkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika 😂😂😂Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?
Naona wimbi la kuzeeka limekusomba pia mkuuMkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika [emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli mambo tunayo yabeba kifuani ni mazito zaidi ya umri wetu.. ni uzoefu tu unatuokoaNaona wimbi la kuzeeka limekusomba pia mkuu