Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo[emoji28] kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom.
IMG_20211214_122138.jpg
 
Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom. View attachment 2043648
Ulikimbiza li V8 na haka? Ni RS?
 
Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom. View attachment 2043648
Hahahahahah yani mkuu wa Mkoa anakumaindi kisa Vits RS😅
 
Bwanaa weee, maisha matamu kila kinacho hatarisha maisha ni vyema kukaa nacho pembeni, usiku hatari sana kwanza hu injoy safari.. sasa hivi policy yangu mpya nikiwa na route ndefu mwisho masaa nane kuendesha hayazidi hapo na ni. mchana, kuna mambo mengi sana tunatakiwa kuyafanya
Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?
 
Man sikuwahi kujua basi nilihisi ile gari ni sababu wameweka 1.5L ndio maana wakaiita RS. Kumbe ni sababu ya ka turbo ndio nimefatilia naona inazalisha 148HP on maximum throttle. Ina mwendo msee kulingana body to weight ratio yake.
Power to weight ratio sio... Kakiku hata tani 1 hakana ila kana mahp kibao
 
Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?
Mkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika 😂😂😂
 
Mkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona wimbi la kuzeeka limekusomba pia mkuu
 
Back
Top Bottom