Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo[emoji28] kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Nilikimbizana na li vieteeh tar 8 kuamki 9 kuanzia sokoine lili nipita nikasema siliachi mpaka kufika dumila lika simama wakanisimamisha kumbe ni la mkuu wa mkoa Fulani wakani mind kwann na wafwata nyuma na kuuliza Aina ya gari nk. From there tukaongozana Kwa Amani mpaka Dom.
 
Ulikimbiza li V8 na haka? Ni RS?
 
Hahahahahah yani mkuu wa Mkoa anakumaindi kisa Vits RS😅
 
Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?
 
Man sikuwahi kujua basi nilihisi ile gari ni sababu wameweka 1.5L ndio maana wakaiita RS. Kumbe ni sababu ya ka turbo ndio nimefatilia naona inazalisha 148HP on maximum throttle. Ina mwendo msee kulingana body to weight ratio yake.
Power to weight ratio sio... Kakiku hata tani 1 hakana ila kana mahp kibao
 
Ni wewe? Leo hii? Umeoa au? Nini kimebadilika mkuu?
Mkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika 😂😂😂
 
Mkuu mambo yana badirika mzee, na mtindo wa maisha unabadirika pia. Sasa hivi hunitembezi usiku na hunitembezi zaidi ya masaa nane.. Nimebadiri tu mfumo wa maisha hasa kwenda 2022. Ingawa wakati mwingine mambo hubadirika [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona wimbi la kuzeeka limekusomba pia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…