Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama dharula inatishia maisha yako iache ipite tu. Kupanda hayo magari ni kufa na kupona,sasa dharula gani hio hadi u bet maisha yako?
Maisha yana mambo mengi mkuu...unaweza ukajikuta saa sita usiku upo Dar, lakini kesho yake saa mbili asubuhi unatakiwa uwe Arusha....
Mtu wa namna hiyo kama hana usafiri wake, mara nyingi hao ndiyo wanajilipua kuingia kwenye hayo magari...
 
.....brakes lazima ziwe nzuri sana na taa ziwe na mwanga wa kutosha ...vinginevyo, usiku ni risk sana..
 
Hivi kuanza safari saa 10 alfajiri ambapo bado pana giza, napo ni kusafiri usiku?

Hii imekuwa tabia yangu sijui nzuri sijui mbaya....[emoji2368]

Popote ntapoelekea saa 12 nakuwa chalinze
Jirani to the next door, katika mambo ya safarini, usiku ni muda wowote endapo mwanga wa asili wa jua hauonekani....yaani giza..[emoji38][emoji38]
Kwa hiyo jirani, wewe unasafiri usiku
 
Ila wazee si mngenipa lift tu[mention]Jack Palladino [/mention]
[mention]RRONDO [/mention] [mention]Kijana wa hovyo hovyo [/mention]

Nimepanda gari inanuka mkojo sidhani kama natoboa [emoji19]
.....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]watu tutafika mwisho wa hii December tukiwa tumechoka sana..
 
Maisha yana mambo mengi mkuu...unaweza ukajikuta saa sita usiku upo Dar, lakini kesho yake saa mbili asubuhi unatakiwa uwe Arusha....
Mtu wa namna hiyo kama hana usafiri wake, mara nyingi hao ndiyo wanajilipua kuingia kwenye hayo magari...
Kwamba hicho kinachokufanya kesho utakiwe uwe Arusha ni muhimu kuliko uhai wako?
 
Hivi kuanza safari saa 10 alfajiri ambapo bado pana giza, napo ni kusafiri usiku?

Hii imekuwa tabia yangu sijui nzuri sijui mbaya....🤷‍♀️

Popote ntapoelekea saa 12 nakuwa chalinze
Hata Mimi huwa natoka saa 11 alfajiri bado Giza. Lakini by the time nafika Bagamoyo/Chalinze kumeshakucha na kwa safari zetu safari huwa inaanzia Bagamoyo/Chalinze nyuma ya hapo ni kama uko mtaani tu. It's okay kuanza muda huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…