Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Acha Mambo yako. Sisi watoka mbali tutaishije sasaIfike mahali serikali ipige marufuku watu wasio na hela kutumia magari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Mambo yako. Sisi watoka mbali tutaishije sasaIfike mahali serikali ipige marufuku watu wasio na hela kutumia magari.
Ndio nadhni haku kaza mguu...mm nilikua natembea na 140. Ni RS ndioUlikimbiza li V8 na haka? Ni RS?
Ukifika 160 gari unakua nyepesi saaana. Labda uwe na kamzigo cha kilo 50 hivi ndo Ka Rs kana tulia vizuri.Kanaweza peperuka aisee
Maisha yana mambo mengi mkuu...unaweza ukajikuta saa sita usiku upo Dar, lakini kesho yake saa mbili asubuhi unatakiwa uwe Arusha....Kama dharula inatishia maisha yako iache ipite tu. Kupanda hayo magari ni kufa na kupona,sasa dharula gani hio hadi u bet maisha yako?
.....brakes lazima ziwe nzuri sana na taa ziwe na mwanga wa kutosha ...vinginevyo, usiku ni risk sana..Kuna sehemu zina miti na kingo pembezoni mwa barabara na kona kali hapo ndio napaonaga jau sana hasa ukitembea usiku pale kwa mtu ambae sio mzoefu mnaweza mkavaana maana njia ni nyembamba pia!
Kuna siku baada ya zile corner tumekuta lorry la bia limemwagika katikati ya barabara ina maana kama ulikuwa umemwaga moto ukikutana nalo ghafla na huna brembo brakes lazma kiumane[emoji28]
Me natamani hata 100kph isifike, iishie 80 kph..[emoji2957][emoji2957][emoji2957]..familia bado changa sana..Mkuu limiter unatoaje mzee! Hebu tuelekezane kidogo[emoji28] sie wenye crown tunadharaulika sana na wajerumani kisa limiter[emoji28]
Nunua landrover 109 mkuu itaishia hapo hapo 80KPHMe natamani hata 100kph isifike, iishie 80 kph..[emoji2957][emoji2957][emoji2957]..familia bado changa sana..
Jirani to the next door, katika mambo ya safarini, usiku ni muda wowote endapo mwanga wa asili wa jua hauonekani....yaani giza..[emoji38][emoji38]Hivi kuanza safari saa 10 alfajiri ambapo bado pana giza, napo ni kusafiri usiku?
Hii imekuwa tabia yangu sijui nzuri sijui mbaya....[emoji2368]
Popote ntapoelekea saa 12 nakuwa chalinze
.....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]watu tutafika mwisho wa hii December tukiwa tumechoka sana..Ila wazee si mngenipa lift tu[mention]Jack Palladino [/mention]
[mention]RRONDO [/mention] [mention]Kijana wa hovyo hovyo [/mention]
Nimepanda gari inanuka mkojo sidhani kama natoboa [emoji19]
Kuendesha lile dude haina tofauti na kusonga ugali wa shule..[emoji38][emoji38]Nunua landrover 109 mkuu itaishia hapo hapo 80KPH
Kuendesha lile dude haina tofauti na kusonga ugali wa shule..[emoji38][emoji38]
Jirani to the next door, katika mambo ya safarini, usiku ni muda wowote endapo mwanga wa asili wa jua hauonekani....yaani giza..[emoji38][emoji38]
Kwa hiyo jirani, wewe unasafiri usiku
Kwamba hicho kinachokufanya kesho utakiwe uwe Arusha ni muhimu kuliko uhai wako?Maisha yana mambo mengi mkuu...unaweza ukajikuta saa sita usiku upo Dar, lakini kesho yake saa mbili asubuhi unatakiwa uwe Arusha....
Mtu wa namna hiyo kama hana usafiri wake, mara nyingi hao ndiyo wanajilipua kuingia kwenye hayo magari...
Doh hilo clutch yake ngumu asee. Unaweza ukajikuta unatembelea low gears pekee.Nunua landrover 109 mkuu itaishia hapo hapo 80KPH
Hata Mimi huwa natoka saa 11 alfajiri bado Giza. Lakini by the time nafika Bagamoyo/Chalinze kumeshakucha na kwa safari zetu safari huwa inaanzia Bagamoyo/Chalinze nyuma ya hapo ni kama uko mtaani tu. It's okay kuanza muda huo.Hivi kuanza safari saa 10 alfajiri ambapo bado pana giza, napo ni kusafiri usiku?
Hii imekuwa tabia yangu sijui nzuri sijui mbaya....🤷♀️
Popote ntapoelekea saa 12 nakuwa chalinze
Mkubwa anataka mazoezi😂Doh hilo clutch yake ngumu asee. Unaweza ukajikuta unatembelea low gears pekee.
Aahh siyo kitoto [emoji1][emoji1]Mkubwa anataka mazoezi[emoji23]
Hakuna chenye thamani kuzidi maisha,.,.ila kuna dharura zinazomfanya asahau kila kitu na kuchukua hatua iliyopo mbele yake..Kwamba hicho kinachokufanya kesho utakiwe uwe Arusha ni muhimu kuliko uhai wako?