Nahisi hunywi cappuccino mpaka uhakikishe imechorwa😀😀😀🤣🤣,
sema huyu ni mwamba, huwa wakiniundia wadada wananiwekea kopa 😂😂😂Nahisi hunywi cappuccino mpaka uhakikishe imechorwa😀😀😀🤣🤣,
Jioni nitawawakilisha bambalagaNaona unawakilisha.
Hakika mvuvi lzm anukie shombo ya samaki.......yaani wadada wakikuona tuu wanakutambua na wanakuwekea kopa😆😆😆😆sema huyu ni mwamba, huwa wakiniundia wadada wananwananiweke
😂😂😂😂, nakuwa kama chambo samaki lazima watamani kuila tu, maana chambo iliyonona hakuna samaki asie itakaHakika mvuvi lzm anukie shombo ya samaki.......yaani wadada wakikuona tuu wanakutambua na wanakuwekea kopa😆😆😆😆
😂😂😂😂, pazuri sana pale kuogelea unashika samaki kwa mikoni, uhitaji ndoana na chamboNilivyofika hapo ndio nikajua kwanini unapapenda.
Wapo wasioitaka mkuu maana wanakuwa wameshajua kuwa ni mtego [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nakuwa kama chambo samaki lazima watamani kuila tu, maana chambo iliyonona hakuna samaki asie itaka
😊😊 😀😀😀Sio kwa samaki wale! Ni balaa
Kuna kanuni kibao za chambo, unamjua sawaka wewee 😂😂😂Wapo wasioitaka mkuu maana wanakuwa wameshajua kuwa ni mtego [emoji16][emoji16]
Kuna samaki ni wajanja eti [emoji1][emoji1]Kuna kanuni kibao za chambo, unamjua sawaka wewee [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 ila kweli, atakwepa sana ndoano ila ipo siku huwa ina nasaa.. siri kubwa ya uvuvi ni kutokata tamaaKuna samaki ni wajanja eti [emoji1][emoji1]
Hahaaa haya bana [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] ila kweli, atakwepa sana ndoano ila ipo siku huwa ina nasaa.. siri kubwa ya uvuvi ni kutokata tamaa