Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...

Merry Christmas in Advance

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umenikimbia?😳😳
 
Umbali na barabara sehemu kubwa ni vumbi ni miongoni mwa sababu sinazokwa.isha watu wengi kufika magharibi
Labda umbali mkuu ila barabara mfano za Kigoma mjini angalau ziko vizuri. Na watu wengi wanaotalii huo mkoa huwa wanaishiaga mjini tu wakishaona ziwa Tanganyika basi isipokuwa kwa wale wenzangu na mimi ambao watataka kuona hadi na vivutio vingine kama national parks na historical sites.
 
Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...

Merry Christmas in Advance

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Haha This Time Hatuendi Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
40 Days 2022/2023 adventure around Tanzania main land.

1. Gari ipo, Land Rover Defender 110 / 2021 Station Wagon.

2. Wanao hitajika ni wadau watano (5), wanawake watatu (3) na wanaume wawili (2) na mimi mwenyewe jumla tuwe watu sita (6).

3. Wakijitokeza watu wengi zaidi utaratibu wa kupata (ma)gari (me)ngine utafanyika.

4. Tutatembea zaidi ya kilomita 6,000 kwa siku 32, siku 8 zitapotelea katikati kadri tutakavyo amua.

5. Makadirio ya gharama ya mafuta ni 1.8M hadi 2m.

6. Mchango kwa kila mdau itahitajika 1.5m ambayo itagharamia mafuta, chakula, malazi na utalii.

7. Mchango haukusanywi bali kila mmoja ajiwekee akiba benki au popote pale kuanzia sasa hadi mwezi October 2022 panapo majaaliwa ambapo tutafanya kikao na kupanga safari yetu, lengo liwe hadi kufikia 5 Disemba 2022 tuwe tumemaliza mzunguko wetu.

Mawazo chanya, yanakaribishwa, kuhusu Route, gharama, usahihi wa umbali, usalama, nk.

8. Mapendekezo yangu ya route iwe ni kuzunguka pembezoni mwa Tanzania kama ifuatavyo:-

Day 1
Dar - Lindi - Mtwara, almost 600km.

Day 2
Mtwara - Masasi - Mtambaswala, almost 320km.

Day 3
Mtambaswala - Masasi - Songea, almost 500km.

Day 4
Songea - Mbinga - Mbamba bay, almost 180km.

Day 5
Mbamba bay - Songea - Njombe, almost 420km.

Day 6
Njombe - Makete (via Kitulo) - Mbeya, almost 170km.

Day 7
Mbeya - Kasumulu, almost 120km.

Day 8
Kasumulu - Mbeya Tunduma, almost 230km

Day 9
Tunduma - Sumbawanga - Kasanga, almost 350km

Day 10
Kasanga - Sumbawanga - Muze - Lake Rukwa, almost 180k.

Day 11
Lake Rukwa - Muze - Namanyele - Kibaoni - Majimoto, almost 180km.

Day 12
Majimoto - Kibaoni - Stalike - Mpanda, almost 150km

Day 13
Mpanda - Uvinza - Kigoma town, almost 320km.

Day 14
Kigoma - Kasulu - Nyakanazi, almost 350km

Day 15
Nyakanazi - Lusahunga - Nyakahura - Kobero border, almost 150km.

Day 16
Kobero border - Nyamiyaga - Rusumo border, almost 70km.

Day 17
Rusuma - Nyakasanza - Mtukula, almost 250km.

Day 18
Mtukula - Bukoba town, almost 90km.

Day 19
Bukoba - Biharamuro - Geita - Mwanza, almost 450km.

Day 20
Mwanza - Bunda - Musoma - Migori, almost 300km.

Day 21, 22, 23, 24
Migori - Tarime - Serengeti, almost 200km + other 200km.

Day 25, 26
Serengeti - Ngorongoro, almost 70km + 200km.

Day 27, 28
Ngorongoro - Karatu - Arusha, almost 200km.

Day 29
Arusha - Segera - Tanga - Horohoro, almost 550km

Day 30
Horohoro - Tanga town, almost 70km + 50km.

Day 31
Tanga - Pangani - Sadani, almost 200km.

Day 32
Sadani - Bagamoyo - Dar es Salaam, almost 180k.

Karibuni kwa mawazo chanya kwenye uzi wa link hii

___________
JBourne59
Safari nzuri on paper, baada ya muda itakata stimu.

Nilipanga mwakani mwishoni nitembelee nchi zote za Sadc ila mambo ya Corona naona hayapo stable.
 
Extrovert na Kijana wa hovyo hovyo chekini hao ndugu zenu wawili leo walikuwa wanafukuzana kwenye ile barabara yenu ya Mandela

Sijui watu wanapataga wapi ujasiri wa kufukuzana Dar kwenye foleni hasa Mandela road ile barabara ilivyo na malori shazi yanayoovertake hovyo hovyo tu
20211220_155349.jpg
 
Extrovert na Kijana wa hovyo hovyo chekini hao ndugu zenu wawili leo walikuwa wanafukuzana kwenye ile barabara yenu ya Mandela

Sijui watu wanapataga wapi ujasiri wa kufukuzana Dar kwenye foleni hasa Mandela road ile barabara ilivyo na malori shazi yanayoovertake hovyo hovyo tu View attachment 2051795
Nani aliibuka kidedea hapo baina ya farasi mweupe na huyo bibi kizee wa kijerumani?

Sema weaving huwa tamu ila iwe muda ambao hamna jam kubwa kama usiku huo mkeka huwa mtamu kweli yani! Hio njia ukiipita kuanzia saa 4.30 usiku utapapenda.
 
Hahaaa eti bibi kizee wa kijerumani, huo sasa ni utani wa ngumi. Hata sijui mwanzo nilikuwa nao sambamba naenjoy ligi yao, ila baadaye wakapepea sijui nani aliibuka mshindi huko mbele.
 
Hahaaa eti bibi kizee wa kijerumani, huo sasa ni utani wa ngumi. Hata sijui mwanzo nilikuwa nao sambamba naenjoy ligi yao, ila baadaye wakapepea sijui nani aliibuka mshindi.
Ulikubalije wakuache😅, hilo bmw ni la 2005 very aged huwezi fananisha na 2016 landcruiser ki horsepower ki Torque na wala kiuzuri!😅
 
Extrovert na Kijana wa hovyo hovyo chekini hao ndugu zenu wawili leo walikuwa wanafukuzana kwenye ile barabara yenu ya Mandela

Sijui watu wanapataga wapi ujasiri wa kufukuzana Dar kwenye foleni hasa Mandela road ile barabara ilivyo na malori shazi yanayoovertake hovyo hovyo tu View attachment 2051795
Unaanzisha ligi ya Ujerumani na Mjapan, maana mbele hapo kuna BMW X5 na nyuma na VXR V8 😂😂😂
 
Ulikubalije wakuache[emoji28], hilo bmw ni la 2005 very aged huwezi fananisha na 2016 landcruiser ki horsepower ki Torque na wala kiuzuri![emoji28]
Haha tatizo malori yalinikosesha uhondo na wao walikuwa wanajitahidi kuyakata ili wapate mwanya wa kuendelea kushindana. Basi tu naona bimmer aliamua kupima upepo.
 
Unaanzisha ligi ya Ujerumani na Mjapan, maana mbele hapo kuna BMW X5 na nyuma na VXR V8 [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha siyo mimi ni hao ndugu zenu ndiyo walianzisha ligi mie nilikuwa mtazamaji tu. Bimmer maniacs wanajiamini sana kuna wakati wanavimba na hawajali kabisa uwezo wa wanaowavimbia.
 
Back
Top Bottom