Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu picha tafadhali [emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu picha tafadhali [emoji1][emoji1]
Samaki kashafanya yake [emoji38][emoji38]Kahawa cafe - Dodoma tayari.. kujiandaa usiku kwenda bambalanga [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2049932
Naona mmeona hako kakopa, japo ka fail weka vikolombezwa kwasababu ya kikombe [emoji23][emoji23][emoji23]
RRONDO
mtongwe
Offshore Seamen
Karma
i feel proud to say that mimi ni mmoja ya watz ambao nimeizunguka sana hii nchi kwenye roadtrip zangu mbalimbali mijini na vijijini.Amkeni amkeni ule mwezi wa road trip ndio huu.....wiki ijayo nafanya service kabisa kujiandaa na northern zone trip!
Hongera mkuui feel proud to say that mimi ni mmoja ya watz ambao nimeizunguka sana hii nchi kwenye roadtrip zangu mbalimbali mijini na vijijini.
mda huu nikiwa naandika comment hii, nipo hapa "kanda maalum" musoma nimekuja kikazi.
mikoa ambayo nimebakisha kufika ni michache sana ikiwemo rukwa, kigoma na pemba(kama inavyonekana kwenye ramani).
View attachment 2050379
😂😂 Wanakula chambo,ndoano na mshipiKuna samaki ni wajanja eti [emoji1][emoji1]
Kuna tuta moja pale halina vile vi rasta wala kibao. Lakini zaidi matuta Yale ya kiyegea mpaka mabasi Yana gusa pia na zile za gairo ndo kiboko zaidiWala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Hongera sana mkuu. Mimi Tz bara sijafika Kigoma, Rukwa na Katavi basi.i feel proud to say that mimi ni mmoja ya watz ambao nimeizunguka sana hii nchi kwenye roadtrip zangu mbalimbali mijini na vijijini.
mda huu nikiwa naandika comment hii, nipo hapa "kanda maalum" musoma nimekuja kikazi.
mikoa ambayo nimebakisha kufika ni michache sana ikiwemo rukwa, kigoma na pemba(kama inavyonekana kwenye ramani).
View attachment 2050379
Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Wanakula chambo,ndoano na mshipi
Hii mikoa ya magharibi inaonekana watz wengi hatujafika au hatutembelei sana. Wengi ninaowafahamu waliozunguka hii nchi wanasema ni hiyo mikoa tu ndiyo ambayo hawajatembelea.Hongera sana mkuu. Mimi Tz bara sijafika Kigoma, Rukwa na Katavi basi.
Ni kweli. Ila tujipange kutembea kufika ziwa TanganyikaHii mikoa ya magharibi inaonekana watz wengi hatujafika au hatutembelei sana. Wengi ninaowafahamu waliozunguka hii nchi wanasema ni hiyo mikoa tu ndiyo ambayo hawajatembelea.
Nimetokea pande hizi majuzi tuu.......na katika mikoa ya Tanzania sijafanikiwa kufika Sumbawanga na hii mikoa uliyoanzishwa hivi karibunikaribuni ila ile mikoa 24 ya ile Tanzania nilibakiza mkoa huo huo pekeeNi kweli. Ila tujipange kutembea kufika ziwa Tanganyika
Umbali na barabara sehemu kubwa ni vumbi ni miongoni mwa sababu sinazokwa.isha watu wengi kufika magharibiHii mikoa ya magharibi inaonekana watz wengi hatujafika au hatutembelei sana. Wengi ninaowafahamu waliozunguka hii nchi wanasema ni hiyo mikoa tu ndiyo ambayo hawajatembelea.
Hahaaaaaa, ndio upate hamu ya kufika mwisho wa reli.Kigoma mwisho wa reli! Nikisikia hivyo tu nakata tamaa!
Mimi ni Km18,000 kwa mwaka wastani wa kutembea haswa Kutoka Dar kwenda Nyanda za Juu kusini mwa nchiAverage yangu ni 13k kwa mwaka