Ahsante mungu mmefika salama............Mwanza tamu ๐
Loc. Malaika Beach Resort
Bei ya room mshahara wangu kwa Muhindi mwezi mzima, nyieeeee ๐ ๐
Anyways' siku moja moja sio mbaya kuubariki mwili.
Mwe lini tena uliniambia tuonane [emoji2297][emoji2297]Mie hunipigi chenga, ila hutaki kabisa tuonane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bambalaga si unajua tena utu uzima dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Asee uko na Chombo ipi mkuu
Hahahahahah gari ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza tamu [emoji7]
Loc. Malaika Beach Resort
Bei ya room mshahara wangu kwa Muhindi mwezi mzima, nyieeeee [emoji23] [emoji23]
Anyways' siku moja moja sio mbaya kuubariki mwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyeti vya over speed vipo tafadhalini msiwaige wale cruiser za STL [emoji23]
Vyeti tulivyopewa wao ndio walikuwa chanzo, unamuona anakupita shwaaap ukicheck unammudu basi unaunga naye weee huchukui round wanyabe hawa hapa na li calculator lao.
Haha hao jamaa nenda nao usiku tu. Mchana watakuponzaVyeti vya over speed vipo tafadhalini msiwaige wale cruiser za STL [emoji23]
Vyeti tulivyopewa wao ndio walikuwa chanzo, unamuona anakupita shwaaap ukicheck unammudu basi unaunga naye weee huchukui round wanyabe hawa hapa na li calculator lao.
BMWAsee uko na Chombo ipi mkuu
Safi.Hahahahahah gari ipi
Nilikuwa natafuna kuku na juice huku nadrive mitaa hiyo, ungenitrail ningekuboa
Ile nyeupe?Safi.
I guess nilikupigia honi.
1100 hrs nimefika arusha.Njia panda 1030hrs. Safari tamu sana. Leteni ripoti za trip wakuu. Mimi sijaandikiwa cheti wala sijatoa ya kubrashia viatu, nimekuwa mfuata sheria nowadays.